Recent content by nyamandai

  1. nyamandai

    Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?

    Innalillah waina ilaih rajuun. Pole kwa wanafamily wa Husna! na pole kwa watanzania sotw kwa ujumla. Nina amini ujumbe utamfikia Rais
  2. nyamandai

    Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

    pole sana! kutana na viongozi wako wa dini kwa imani yako wakufanyie maombi labda ni mdudu mchafu ameuvamia mwili wako
  3. nyamandai

    Usijipe presha, kama unampenda muamini kisha ziba masikio!

    Ambiele Kiviele! maneno uliyoandika hapa yote swadaktaaaaa!! tena kama una kalamu ya wino mwekundu yapigie mstari! BIGUP kwa sanaaaaa! Umenikonga nyoyo ww! wacha nishushie na Juice bariiidi!
  4. nyamandai

    Rais amtumbua Vita Kawawa na bodi yake, aagiza viongozi wa WETCU wakamatwe

    Aiseee ni sheeeeda haya majamaa yanaonekena hayana hofu kabisaa!! Kazi kwao JIPU ndo hilo limetumbuliwa bila ganzi
  5. nyamandai

    Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

    Maneno yako kuntuuuuu...!
  6. nyamandai

    Inaweza ikawa dalili ya ujauzito?

    Nenda hospital ukapime utapata jibu sahihi
Back
Top Bottom