Ulianza kuzisikia baada ya muda ganiyeah ni yenyewe, dalili zako zipo kama zangu nilivyopata ujauzito,
Ni ngumu sana kwa wanandoa kutumia condom, kufanya mapenzi siku salama ndio njia pekee yenye Tija katika kupanga uzazi. Hii ya kumwaga nje ni mambo ya modernization tu ambayo pia not applicable kwetu tulio wengiUngeenda Hospital tu kupima upate uhakika.....Ila siku zingine msipate tabu ya kumwaga njee kondom zipo hadi za jero
Nunua kipimo cha mimba duka la dawa, kinauzwa sh 1000 tu kisha kojoa mkojo ujipime mwenyewe nyumbani kwako.Habari zenu. Nimefanya mapenz katika siku za hatari ila jamaa alimwaga nje sasa ni wiki imepita naskia tumbo linauma na chuchu zinauma ingawa matiti hayajavimba. Je inaweza ikawa ni mimba?