Recent content by nyamalagala

  1. nyamalagala

    Naomba Makadirio ya mbao kwa ajili ya Kenchi

    Habari wadau muhimu wa ujenzi. Niko kwenye hatua za kupaua baada ya kupambana na boma. Sasa ombi langu ni kujua idadi ya mbao zitakazotumika kwenye mjengo wangu. Nyumba ina urefu wa futi 37 na upana wa futi 22.10. Nataka nitumie mbao za futi 12. Location yangu ni Bunju. Nb. Ramani niliipata...
  2. nyamalagala

    Naomba makadirio ya Mabati

    Shukran sana mkuu. Sasa nimepata pa kuanzia. Ubarikiwe mno
  3. nyamalagala

    Naomba makadirio ya Mabati

    Habari ndugu zangu. Leo nimekuja kwenu kuomba wajuzi wa mambo ya ujenzi. Nina boma langu limenisotesha kulimaliza mpaka kozi 12. Sasa hatua inayofuata ni kupaua. Hitaji langu ni kujua idadi ya bati zitakazotumika. Boma langu lina sifa zifuatazo: 1. Urefu futi 37 2. Upana futi 22.10 3. Vyumba...
  4. nyamalagala

    The virginity of Africa

    Kwa kiha tunaita NTUMBASWA! Asante Sana kwa kutukumbusha ya kale.
  5. nyamalagala

    Mtoto kukutwa na kidonda angali tumboni mwa mama

    Tulipoenda zahanati mchana mapigo ya moyo yalikuwepo. Usiku saa sita u uchungu ulivokolea alipimwa lakini mapigo ya moyo yalisikika kwa mbali ndipo tukaenda hospital kubwa. Usiku alipopimwa mapigo ya moyo hayakusikika kabisa. Kwa mujibu wa wahudumu walisema mtoto alifariki masaa machache kabla...
  6. nyamalagala

    Mtoto kukutwa na kidonda angali tumboni mwa mama

    Hapa namfariji mke wangu ingawa na Mimi maenyewe nina maumivu makubwa moyoni.
  7. nyamalagala

    Mtoto kukutwa na kidonda angali tumboni mwa mama

    Asante mkuu. Kwa awamu zote ultrasound tulipima wakati yuko na miezi minne hakukuwa na shida. Hata miezi 8 tulienda kupima ultrasound hakukuwa na shida. Kuhusu magonjwa ya zinaa tulipima( kabla ya kuoana na baada ya kupata ujauzito) kuhusu uvimbe hatujapima
  8. nyamalagala

    Mtoto kukutwa na kidonda angali tumboni mwa mama

    Asante mkuu. Nangoja waje nipate mwanga
  9. nyamalagala

    Mtoto kukutwa na kidonda angali tumboni mwa mama

    Habari wanna jamvi wenzangu wa JF. Tumuombe Mungu atuepushe na hili janga la Corona maana maisha yetu na kukaa kizuozini wakati mtembezi hula miguu yake tutakoma. Turudi kwenye mada. Ndugu zangu wana JF mwenzenu Kuna kitu kinanitatatiza. Mwaka 2018 December mke wangu alikuwa na ujauzito wa...
  10. nyamalagala

    Whatsup group ya walimu

    Jaman natamani kutumia whatsapp kwenye PC lakini sijuia nafanyaje. wajuzi naombeni maelekezo ili niwe natumia kwenye pc
  11. nyamalagala

    Natafuta kazi ya kufundisha shule ya msingi

    Ubarikiwe sana mkuu. nadhani umempatia hitaji lake. kilichobaki ni yeye kujimwaga
Back
Top Bottom