Natafuta kazi ya kufundisha shule ya msingi

Natafuta kazi ya kufundisha shule ya msingi

mr.general

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
990
Reaction score
618
Husika na kichwa taja hapo juu.Mimi ni mhitimu wa chuo cha ualimu gradelllA ngazi ya astashahada.Nimehitimu mwaka 2016,na nina uzoefu wa kutosha katika kufundisha masomo yafuatayo;

ENGLISH
MATHS
HISTORY
GEOGRAPHY
ICT-TEHAMA
CIVICS
KISWAHILI
HAIBA NA MICHEZO
NA
SAYANSI.
pia ninao uwezo wa kufundisha secondary kwa masomo yafuatayo
Biology
Civics
History
Geography
English na
Kiswahili.

Kwa maelezo au taarifa zaidi wasiliana nami kwa +255759827138 au mwangosaid@gmail.com
IMG-20181023-WA0022.jpg
 
Back
Top Bottom