Kalamu, asilimia kubwa ya Watanzania, ni wezi, wavivu, wanafiki, masikini, wajinga, no exposure, wameridhika, na mambo kama hayo,
Sasa ukiwatolea utawala ambao wanafanana nao, watakuona wewe ndio mbaya,
Wataiba wapi tena, wakati tumezoea, atatufanyisha kazi huyu kama punda, wakati nikiuza...