Wageni ni mradi wa mabosi wa uh.amiaji niinavyo mm maana miaka kumi sasa hawajawahi kukamata mgeni akapelkwa mahakamani. Only in Tanzania kila kitu rahisi hata uraia bureeee. Mh. Rais ataweza kweli
Kapyungu A
Nenda .k.koo wachina na wahindi waarabu wa yemen wanamiliki pas za tanzania na uhamiaji wanajua kila wiki wanapita kuchukua rushwa sisi tulizaliwa ukiomba unakaa mwaka ndio upate. Nafkiri kuna wakubwa wanawatuma hawa wadogo maana kila kichwa wanapewa milioni sana mitaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.