Recent content by nyakomba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

    Tahadhari nyoka huwa hafi kirahisi, imezoelewa kuwa nyoka ikipigwa mawe akaacha kutapatata basi kafa na tunamtupa. Tunakosea nakumbuka siku moja hapa kwetu usiku alitokea nyoka tukampiga mawe sana tukajirizisha kafa, mlinzi wetu mmasai akasema hajafa tukamkatalia basi akatuonyesha kitu ambacho...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    Kazi ipo kumbe yapo makanisa mengi ya kitapeli. Mungu atusaidie
  3. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya: Mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uligubikwa na utata

    My no 0712201011
  4. N

    JamiiForums Tanzania MKASA: Nilimuua rafiki yangu mwaka 1990, ananitokea akinitaka nikatubu

    Tukumbuke hata saul ambae kwa sasa ni paulo alikua muuwaji. Mungu alimbadilisha na kumfanya mtu mwema. Huwenda yeye aliuwa mimi na wewe tulimuuzi Mungu kwa jingine. Tumsaidie mawazo ya kumjenga na si kuzidi kumuumiza zaidi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania MKASA: Nilimuua rafiki yangu mwaka 1990, ananitokea akinitaka nikatubu

    Anahitaji msaada tusimdhihaki, tumshauri vizuri, tusimuhukumu kwan kwa Mungu hakuna kipimo cha dhambi na hakuna alie mkamilifu. Anaumia ndio maana ameona alilete humu ili apate ushauri.
  6. N

    JamiiForums Tanzania MKASA: Nilimuua rafiki yangu mwaka 1990, ananitokea akinitaka nikatubu

    Ndani na bahari, ziwa na.mito kuna mambo mengi ya ajabu. Huwenda alikumbwa na upepo wa ajabu. Lazima utubu ili upate amani. Pole sana
  7. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

    Nimecheka sana hivi huwa mnayatoa wapi hayo majibu,daaah!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    Najiuliza km alihitaji mtt huyu baba kwann alimtoa mimba mdada aliempa ujauzito. Vip km utazaa na mtt akapata dharura na baba yake akahitajika. Je huon km mtt hatakua na aman kuona baba yake anamlea kwa kificho? mengineno naomba uni mp tuongee zaid.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    Nimepata nguvu sana kuliweka hili kwa jamii mahisi km nimepona. Nilikua mgonjwa kabisa kwa kuwaza, nimepata madonda ya tumbo. Kila siku nikitoka kazin nimekua mtu wa kujifungia ndan na kulia tu. Ila tangu juz nasijisikia aman sana. Nilikua nimebeba mzigo mzito moyoni ninawashukuru sana wote kwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    Asante wapendwa wote ninawashukuru sana, sana napata faraja na nguvu sana,, kuna mambo naomba nijibu ni kweli hakuna aliemkamilifu hata mimi huwenda ni mkosefu sana, ila sikuumia sana nilipojua anatembea na rafiki zangu hg japo kuwa kwangu hg ni km mwanangu ila ningefanyaje km waliamua...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    Asanten kwa ushauri wenu nazid kupata nguvu. Mbarikiwe
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    Kuhusu kimpeleka mtoto kwa baba ake ingekua ngum. Alinikuta nae namlea na ikumbukwe kua ilinichukua muda kuamia sababu ilikuwa watoto. Kabla yake wapo waliojitokeza kutaka kunioa walopotoa wazo la mtoto apelekwe baba yake sikuona vema.nilikataa. Pamoja na kuwa nakaa.nae sijawahi kumuomba pesa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    Asante azusa kwa ushauri wako, nilijaribu kumwambia juu ya jambo hili nakumpa ushahidi lkn inaonekana ni tabia yake.kwan niliwai kushika sim yake nikagundua ana wanawake anachat nao ni wapenz wake. Nilimuonya ila kwakua nilijijua ni dhaifu ktk mapenz nilijua huwenda ikawa sababu. Kuja kujua...
Back
Top Bottom