Recent content by nyakaberekasonoji

  1. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Duh Mungu ampatie pumziko la milele huyu jamaa Mungu alikuwa amempatia kipaji cha kujua physics na mathematics pamoja na chemistry alinifundisha oswald Mang'ombe
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe kawekwa rumande kwa kosa la kuruka dhamana na siyo hitaji la kesi yake ya msingi!

    Yatamfika kila mtu, yanayompata nyani was serengeti ipo siku yatampata nyani wa mikumi...... Hii ni life cycle
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza ni kweli KCMC hawapokei bima za NHIF?

    Ok,nimeongea na Daktari anasema atafanyiwa kila kitu bila kuongeza chochote kama ana Bima ya NHIF sasa sijui utafanyaje nikupatie namba yake maana nishamwambia ukifika Kcmc umpigie
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza ni kweli KCMC hawapokei bima za NHIF?

    Kcmc wanatumia Bima dada ya NHIF tena ukitaka nikuungunishe na ENT mwenyewe na hawana tatizo kabisa kama hizo nasal polyps zishaziba sana anafanyiwa siku hiyo hiyo, lakini mhepushe na vumbi au vitu vya allergy
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sasa ndo tutaiona sura na rangi halisi ya Nape

    Kwishinea
  6. N

    JamiiForums Tanzania App ya android

    Tumia tubemate
Back
Top Bottom