Recent content by Nyaka-One

  1. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi Ya Basi Msamvu Morogoro inalipisha pesa ya kuingia hata kama una tiketi

    Hilo hata stendi kuu ya Mbeya lipo. Wanadai kama umekata tiketi online na hauna tiketi ya karatasi ili uingie ndani lazima ulipie pale getini.
  2. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Msituletee utapeli wa kutubebesha marouter mpeni mtu unlimited kwenye simu yake

    Kuna zile Mi-Fi za Tigo ukitumia chaji inaisha ndani ya saa moja au masaa mawili tu. Ovyo kabisa
  3. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz na Kikwete watoke watoe maelezo ya kueleweka juu ya kifo Cha Magufuli!

    Ndiyo maana binadamu hatupaswi kudanganyika na tabasamu la mtu. Linaweza kutumika kuficha uovu wake.
  4. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

    Kama wakati huo nia ilikuwa njema, hiyo nia njema ya kuunganisha NIDA, NEC na CCM kimfumo ilikuwa ni ipi?
  5. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina na T-Shirt yenye picha ya Magufuli kuomba wananchi wamdhamini ili aweze kugombea Urais. CCM B kazini?

    Huyu kama anakubalika jimboni mwake si bora angeendelea tu kugombea ubunge jimboni kupitia hiyo ACT.
  6. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Tukio la ajabu Kwa Mtogole linaninyima usingizi

    Sasa kwa uzoefu wako kwenye mambo ya giza kama ambavyo umekuwa ukijinasibu humu hilo tukio dogo tu ndiyo liwe la ajabu kwako hadi likukoseshe usingizi? Binafsi siyo muumini wa hizo mambo lakini pia kwenye story yako sijaona cha ajabu cha kupelekea mtu mzima akose usingizi.
  7. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

    Wa kujitafakari ni mwananchi.
  8. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Kangaroo ana uke mitatu

    Kwa hiyo yeyote anaejitokeza na kumsumbua anapewa kitu fake?
  9. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Kwanini Haji Manara anamshambulia Sana Gwajima??

    Labda hadi utekaji na mauaji ya "wenzie" yarudi tena kama miaka ile na Gwajima nae arudi na kuyakemea ndipo atamwona wa maana.
  10. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Kuuchuna huko kunampa faida gani mtoto wako wa kuzaa?
  11. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mwalimu ajinyonga kisa wivu wa mapenzi

    Hizo gharama za vyeti alizoamriwa kulida ni zipi?
  12. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

    Basi aliyerekodiwa asubiri tu kulamba bingo.
Back
Top Bottom