Recent content by Nyaishozi College

  1. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme wa solar kuisha haraka

    Kwa sasa, wenzetu wametengeneza system ambayo haisumbui kufunga ina Inverter na batteries humo humo! Unapachika tu Solar Panels basi unaendelea. Mfano hii hapa
  2. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme wa solar kuisha haraka

    Asante kwa comment. Nyaishozi College in Chuo cha CBET na katika CBET tunatoa mafunzo kwa vitendo (training). tutaishi milele naamini ushauri umeupata mwingi, ila kwa vile sisi ni watu wa vitendo, nakupa gharama ya system ndogo ya solar kwa manunuzi ni USD 917. Kazi kwako
  3. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme wa solar kuisha haraka

    Karibu ujifunze kwetu maana Nyaishozi College tunatumia umeme wa Solar kwa asilimia 100. Tanesco tulizima siku nyingi
  4. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Nyaishozi kinatangaza nafasi za kazi zifuatazo

    Habari! physical address ipo tazama tena.
  5. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Nyaishozi kinatangaza nafasi za kazi zifuatazo

    Ahsante marekebisho yamefanyika.
  6. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Nyaishozi kinatangaza nafasi za kazi zifuatazo

    Nafasi Tutors (Diogonostic radiography na Nursing), Receptionist na Networking Sifa za Mwombaji Elimu ngazi ya diploma na kuendelea Maombi yote yatumwe kupitia Email: info@nyaishozicollege.ac.tz au Whatsapp: 0745009792
  7. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

    https://www.youtube.com/watch?v=VQzcl1p-fkE
  8. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Radiographer at Tindwa Medical & Health Services September, 2023

    Kama mlipata wa ziada, tupatie contact zao maana hawa jamaa hawapatikani kwa urahisi
  9. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Radiographer anatafutwa

    Wanahitajika walio na Diploma au Degree ya Kwanza ya Radiography haraka. Wasilisha CV kupitia info@nyaishozicollege.ac.tz au tuma kwa Whatsapp 0745009792
  10. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Health Volunteer – Receptionist at CCBRT September, 2024

    Wapendwa, tafadhali andika katika Title ya email nafasi unayoomba ili iwe rahisi kufanya uchambuzi. Kwa vyovyote vile tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwenu hususan JF kwani mpaka sasa tumepokea maombi 98. Mwisho wa kutuma maombi ni Jumapili tarehe 29/09/2024. Barikiwa sana
  11. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Health Volunteer – Receptionist at CCBRT September, 2024

    Asante kwa mwitikio; tunahitaji pia mhasibu na HR
  12. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Health Volunteer – Receptionist at CCBRT September, 2024

    Hata Nyaishozi College iliyopo Mbweni Dar es Salaam, tunatafuta Receptionist na librarian haraka Tunapatikana info@nyaishozicollege.ac.tz
  13. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Video: Tembo aliyechoka kuteswa aamua kulipiza kisasi

    In an unfortunate incident in Kerala, a mahout (elephant tra .. Read more at: https://www.latestly.com/socially/india/news/kerala-elephant-tramples-mahout-to-death-at-elephant-safari-centre-kerala-farm-in-kallar-disturbing-video-surfaces-6056044.html
  14. Nyaishozi College

    JamiiForums Tanzania Nimeapply clinical medicine. Je naweza nikachaguliwa Kwa completion hii?

    Tunashukuru kwa mawazo yako! Hoja yako ni ya ujumla bila kuwa na data. Katika vyuo vya Afya, mitihani hutungwa na Wizara ya Afya. Mitihani inasimamiwa na Wizara ya Afya. Mtihani ni mmoja huo huo kwa vyuo vya Serikali hata vya Private. Mitihani inasahihishwa Dodoma na Wizara ya Afya. Hapo huoni...
Back
Top Bottom