Recent content by nyaggad

  1. nyaggad

    JamiiForums Tanzania Ijue biashara ya nywele bandia faida na changamoto zake

    Habari wadau! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,ijue biashara ya nywele faida na changamoto zake,kwanza kabisa naweza kusema biashara ya kuuza nywele za bandia ni kama biashara zingine,inakuhitaji ufanye tafiti kabla ya kuingia kwenye biashara hiyo ili uweze kujifunza namna ya kuifanya kwa...
  2. nyaggad

    JamiiForums Tanzania Natafuta taasisi za kulelea watoto yatima au walemavu hapa Dar, nataka kutoa msaada

    Habari wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta (Ngo)taasisi za kulelea watoto yatima au walemavu zilizopo hapa Dar es Salaam, lengo kubwa kutoa msaada, anayezifahamu anielekeze tafadhali ikiwezekana anipatie hata mawasiliano yao. Asanteni.
  3. nyaggad

    JamiiForums Tanzania Jambo muhimu analopaswa kulizingatia kila mfanyabiashara

    Karibu sana mkuu kwa mawasiliano +255756275959
  4. nyaggad

    JamiiForums Tanzania Jambo muhimu analopaswa kulizingatia kila mfanyabiashara

    Karibu sana.
  5. nyaggad

    JamiiForums Tanzania Jambo muhimu analopaswa kulizingatia kila mfanyabiashara

    Kila siku biashara mpya zinaanzishwa lakini nyingi zinakufa bila kufika mbali,unajua kwa nini?,sababu zinaweza kuwa nyingi ila moja ya sababu kubwa kabisa ni kwambia biashara nyingi zinakufa kwa sababu ya kutojulikana hali hiyo hupelekea kukosa wateja na kushindwa kujiendesha kwa faida,tupo...
  6. nyaggad

    JamiiForums Tanzania Vifaa tiba vilivyotumika vinahitajika

    Ok,vipi au hitaji BP MACHINE?
  7. nyaggad

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bp machine inauzwa kwa bei chee!

    Habari wadau! Kuna BP Machine hapa mpya pamoja na medical equipment zingine mpya,zote kwa pamoja zinauzwa Tsh 70000/=tu, Mwenye uhitaji apige au atume what sapp kwenye namba hiyo +255682017479.
  8. nyaggad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawajui au hawataki kuonesha mahaba

    And faithfully
  9. nyaggad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna muda mapenzi yanahitaji uwe na roho ngumu ili yaende sawa

    Hii mbinu ndio ninayoitumia Siku zone!
  10. nyaggad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

    Ni vigumu Sana, kupata really woman Kwa sasa!
  11. nyaggad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

    Asante Mkuu!
  12. nyaggad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

    Truths
  13. nyaggad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ndio mtazamo wangu katika mahusiano ya mapenzi siku hizi.

    Hahaha sawa Mkuu!
  14. nyaggad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ndio mtazamo wangu katika mahusiano ya mapenzi siku hizi.

    Everything it's fair in love and war,kwani wwe umeacha wangapi?
  15. nyaggad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ndio mtazamo wangu katika mahusiano ya mapenzi siku hizi.

    Money is Everything!
Back
Top Bottom