Recent content by Nyafe

  1. N

    Magazeti leo alhamisi!

    Safi sana ila usisahau kuyageuza(michezo)
  2. N

    Usimfanye ajute.

    Mambo yakusaidiana hayo,safi sana
  3. N

    I need a born again husband

    ndio niimeokoka,sihitaji msaada wako nashukuru ila endelea kuwa na wasiwasi wako
  4. N

    I need a born again husband

    kama ww muha unalalamika nini?
  5. N

    Wakaka na wadada wenye tabia hizi acheni mnaboa!

    ni daily mwanzoni sikuona ugumu wowote kwni aliniambia anategemewa so kuna mambo anaweka fresh,ila vikipitishwa viwalo 2,loh!hyo misimbazi itakayomtoka hapo huwezi amini,nimeshauri weee!hadi nimechoka,na mimi nataka nitoke wiki 2 hv nione kama kwake hatopika!
  6. N

    we acha mkuu afu huwezi kumfukuza,bac naamka nimechoka afu job tena,hv kwnn wadada hampendi kujithamini?wote ni mabachelor nafikiri ndotatizo
  7. N

    Wakaka na wadada wenye tabia hizi acheni mnaboa!

    ni daily mwanzoni sikuona ugumu wowote kwni aliniambia anategemewa so kuna mambo anaweka fresh,ila vikipitishwa viwalo 2,loh!hyo misimbazi itakayomtoka hapo huwezi amini,nimeshauri weee!hadi nimechoka,na mimi nataka nitoke wiki 2 hv nione kama kwake hatopika!
  8. N

    Wakaka na wadada wenye tabia hizi acheni mnaboa!

    Mkuu chukulia kwamba una rafiki yako mmeajiriwa wote yy mko jirani mshahara wake anatumia kwa mambo yake hachangii chochote daily anakuja kwako mnakula,mnakunywa kwake ni kulala 2,akikuta hujapika anakuuliza vp jirani leo hatuli?sijawah kumwmbia achangie uzalendo umenishnda wewe unaniona...
  9. N

  10. N

    Wakaka na wadada wenye tabia hizi acheni mnaboa!

    Habari za ucku wakuu,kwa kweli nimeona nitoe kero mwenzenu,yan unakuta mdada au mkaka anafanyakazi ila yeye kwake hapiki,ikifika mida ya msosi anahamia kwa rafiki yake kwa madai kwmba yeye bado hana uwezo wa kujitegemea wkt tumeajiriwa kipindi kimoja,mwenzio nimejitahd wee nikabudget ndo...
  11. N

    I need a born again husband

    unamanisha ww sio mpentekoste?
  12. N

    I need a born again husband

    unamanisha ww sio mpentekoste?
  13. N

    I need a born again husband

    kuwa mama mchungaji ni wito,nimeshndwa kupm sijafikisha post 5,ningependa mtu ajieleze vzr nikivutiwa na maelezo yake ntampa e-mail yangu
  14. N

    I need a born again husband

    mkuu umenifurahisha na kunifumbua macho asante!
  15. N

Back
Top Bottom