Recent content by Nuwa

  1. Nuwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiolewe na mwanaume masikini

    Hili Jambo rahisi Sana. Wazazi wanakuchagulia mchumba, mnaoana, mnazaa watoto, mnagombana mnapatana, maisha yanaendelea Hadi mola awatenganishe. Tatizo mnapenda umagharibi Sana wakati mnaishi kusini mean jangwa la Sahara.
  2. Nuwa

    JamiiForums Tanzania Afisa wa TAKUKURU amuua mchumba wake kwa risasi baada ya kumkatalia ndoa licha ya kumsomesha

    Hii newz nashauri ikabandikwe mbao za matangazo pale udsm, duce, ifm, muhas, aru, saut etc etc ili liwe fundisho kwa Hawa mabinti.
  3. Nuwa

  4. Nuwa

    JamiiForums Tanzania Afisa wa TAKUKURU amuua mchumba wake kwa risasi baada ya kumkatalia ndoa licha ya kumsomesha

    Hadi saivi baharia si atakuwa mafichoni kweli.
  5. Nuwa

    JamiiForums Tanzania Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

    We una hofu bure. Unaumwa kwa mawazo. Kapime upone.
  6. Nuwa

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU, Polisi waja na muarobaini wa rushwa za barabarani wakishirikiana na wadau

    Huku horohoro kwetu...yaaani mpakani kenya-tanzania wasomali ndio illegal transit route wanakimbilia south africa, sasa traffic akichungulia akiwaona hao jamaa Basi wote mnaomba passport, sasa hao jamaa hawana... Basi traffic na konda wanaenda nyuma ya Basi wakirudi kazi imeisha safari...
  7. Nuwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    Kafanye mwenyewe. Future aijua Mungu pekee.
  8. Nuwa

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya Serikali kutaka watoto waendelee kuolewa wakiwa na miaka 14 yatupiliwa mbali

    Mtoto wa miaka 14 kaolewa nae kamzaa mtoto mwenzie. Mh maisha gani haya!
  9. Nuwa

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU, Polisi waja na muarobaini wa rushwa za barabarani wakishirikiana na wadau

    Naunga mkono hoja.. mm ntakuwa wakwanza kutumia iyo app. Makonda na matrafiki wanafanya rushwa ndio kitu saivi. Maisha gani haya.
  10. Nuwa

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Mungu na amjalie nafuu na kupona mapema arudi nyumbani kuendelea na majukumu yake. Si kwa kuwa Yu mwema, ila Ni kwa neema ya mungu tu! "Jinsi nilivo miiiiiimi Ni kwa neeemaaa tuuuu" Basi tujivune tujine Ni kwa neeeemaaa tuuu!
  11. Nuwa

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Naomba yeyote mwenye kujua kilichojificha nyuma ya pazia Ani pm tagadhali Regards
  12. Nuwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My better half could be here!!

    Maya Angelou, Jibu pm zako
Back
Top Bottom