Recent content by nusaki1974

  1. nusaki1974

    Kanisa Katoliki haliwezi kujibiwa kihuni

    Cheza michezo yako yote tisa kumi ukigusa vatican wafwaaaaa. Hicho kibashite ni funza mdogo sanawala hakuna mahali kinajaa ni akili zake tu si timamu sasa mgonjwa wa akili familia yake ina wajibu wa kumpeleka mirembe lakini kizi mkazi imempa kichaa rungu unategemea nini
  2. nusaki1974

    Waraka wa Maaskofu unabagua mambo

    Kabisa
  3. nusaki1974

    Wasomi UDSM Wataka Haki Jinai Iwe Mageuzi Endelevu

    Yani huyu kilaza hatakiwi hata kuongea kwa matokeo haya ila mabwege huwa hawana aibu kabisa
  4. nusaki1974

    TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

    Ee Mungu usimsamehe kosa hata moja huyu mfuta matokeo ya uchaguzi sukuma jehanam anakostahili hana maana kabisa Jesha
  5. nusaki1974

    Bei ya Vanilla yaporomoka kwa kasi Mkoani Kagera, sasa kilo ni Tsh. 3,000

    Bei ya vanilla kwa kilo hapa ujerumani ni 320€ ambayo ni sawa na laki nane na zaidi Tzs. Hapo kwa kweli mkulima wa Tz amedharauliwa kama siyo kuonekana hana maana
  6. nusaki1974

    CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

    Kama nape kumbe ni failure alipata IV 29 Chongolo Chongolo anafahamu nini kuhusu mkataba, analeta maneno matupu haonyeshi yameandikwa wapi katika mkataba kwa sababu wamezoea kuwaongopea wananchi
  7. nusaki1974

    Nawataka CHADEMA kumuomba radhi Makonda, wakikaidi watakutana na hasira ya Mungu

    Cccm ni sawa na wafuasi wa mchungaji mackenzi huwezi kuwaambia kitu nibkuwaacha tu wafunge hadi wafe wenyewe
  8. nusaki1974

    Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

    Hapa samia amechemka kingai huyu asiyefahamu DPO loooo hii ni fadhila kwa aliyoyafanya kwa mbowe.
  9. nusaki1974

    Ole Sabaya afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kufunguliwa kesi mpya. Amkataa Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU

    Labda wewe ndiyo hakimu na usiye na macho wala masikio, nadhani hufahamu nguvu ya vilio alivyovisababisha huyu swahiba wako
  10. nusaki1974

    Marafiki na Jamaa wa Sabaya waangua kilio Mahakamani

    Ni kweli kila mtu ni mkosaji ila si ukosaji wa huyu kijana alikuwa anafanya makusudi kabisa huku akifahamu anatenda makosa kwa sababu alijua kuna mtu mkosaji mwenzake anamkingia kifua sasa Mungu amepita na yule huyu sasa ni sheria tu ifuate mkondo kama ni kusamehewa inabidi asamehewe na wale...
  11. nusaki1974

    Sabaya anaonekana kama mtu anayejuta na aliyejawa kisasi

    Hata mje na majani ya maboga na mitarakwa na machozi yenu havisaidii hata wale aliowatenda unyama na kuwabaka ujambazi ubabe na yote mabaya walilia machozi wao, ndugu, jamaa na watu wa karibu yao, Mungu hacheki cheki wala halali mngekwenda ofisini kwa huyu kenge au mngemuita nyumbani kwenu...
  12. nusaki1974

    Sabaya anaonekana kama mtu anayejuta na aliyejawa kisasi

    Wacha apigike kima huyu alijiona Mungu mtu kwa sababu ya kuzungumza direkt na mdhamini wake hata akienda kubaka mke wa mtu anapiga simu ikulu anasema anatokomeza wapinzani mzee anakiga vigelegele. Vilio vya aliowatenda mabaya na nguvu za Mungu kumpiga chini yule mzee ndiyo vinamfanya awe mrembo...
  13. nusaki1974

    Chadema Arusha yazindua Join the Chain Ambassadors kwa mafanikio makubwa

    Wewe kidole tumbo, ulishawahi kupewa risiti ukitoa mchango au sadaka unatumia solar kufikiri wewe
  14. nusaki1974

    Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

    Spika wa bunge kwa kuongea hadharani kuwa nchi inaingizwa kwenye kukopa kopa kutembeza bakuli kwangu ninaiona kama ina ukakasi sana kufuatia rais Samia kumpinga na kusema tutaendelea kukopa. Je haya tunayoyasikia kila wakati kuhusu mihimili kuingiliana ndiyo haya yanayotekea leo? Au ndiyo...
Back
Top Bottom