Recent content by Nuru ya Yesu kristo

  1. Nuru ya Yesu kristo

    Heri ya Miaka 95 ya Kuliangaza Taifa!

    TANESCO hii na umeme wa mgawo kila wakati, gharama kubwa za kuunganisha halafu huduma zisizokidhi viwango. Endeleeni kulingazia taifa
  2. Nuru ya Yesu kristo

    CHAUMMA yaionya CHADEMA, wasituletee migogoro

    Vyama vyetu vya kisiasa vinaongopa sana, Tena kwa kiwango ambacho huwezi hata sema. Hawa viongozi nao ni malaika na hawajawahi hata kumuona shetani. Nadhani umalaika wao wanatakiwa wajipime na historia zao kule walikotoka na hapo walipo ndo wawe na ujasiri wa kuchambana wenyewe na vyama vyao
  3. Nuru ya Yesu kristo

    Kwa nini Makonda asingepelekwa Wizara ya Uvuvi? Na Mwana FA angepandishwa kuwa Waziri wa Wizara ya Michezo?

    Ingekuwa vizuri kama angeenda uvuvi, kilimo au mambo ya ndani, Makonda ni kiongozi anayethubutu sana kwenye kila wizara au kazi anayopewa.
  4. Nuru ya Yesu kristo

    Kwanini CHADEMA mnaona aibu kuongea ukweli kuwa chama chenu kimekufa wamebaki diasporas tu, semeni ukweli muwe huru

    Sasa kama chama na wanachama wamekufa kwanini mmebaki kuisema chadema na viongozi wake? Mm nahisi pamoja na chadema kupata madhira mengi Kuna haja ya kuwakaribia ili tuweze kujenga taifa letu, kwa kadri ya Kasi tunayokwenda Kuna hatari ya kwenda pekee yetu na chaws zetu baadaye wananchi...
  5. Nuru ya Yesu kristo

    Demokrasia ya Africa na vazi la uhaini

    Mataifa ya Dunia ya kwanza yalileta demokrasia na utawala wa kisiasa unatakiwa kufuata katiba ambayo ni Sheria mama. Cha kushangaza watawala weusi waliopokea uhuru washitakiwa na kosa la uhaini ( Nelson Mandela, Julius Nyerere ) kama njia ya kunyamazisha wapinzani wao wa kudai uhuru wa mataifa...
  6. Nuru ya Yesu kristo

    Mke kahamia chumba Cha watoto wiki sasa

    Omba visa/passport ya kukaa muda mfupi bila kumuona, ikiwezekana piga chini kabisa
  7. Nuru ya Yesu kristo

    Katambi: Matokeo ya kukopa fedha nje ni matokeo ya raia kutokulipa kodi

    Mhmm! Hii nginja nginja ni kutengeneza hadithi za kukwama kwa miradi ya serikali. Tz tunajua sana kuotea (offside) lakini tunashindwa kulinda goli letu, haya twende zetu na maotea yetu
  8. Nuru ya Yesu kristo

    Akili za watu wa CHADEMA zinafanana utafikiri wame share Bluetooth ubongo. Wao ni kutengeneza agenda ya uongo na kuanza kuichekelea

    Achaneni na chadema, Kuna haja gani ya kujadili watu msiowapenda nao hawawapendi? Mwenendo wa kutaja chadema kila mara inaonekana wanna kitu kizuru kuliko chenu, jitahidini kusema na vyama vingine vya siasa
  9. Nuru ya Yesu kristo

    Muda si mrefu CHADEMA wataelewa watu hawaoni umuhimu wao ila wanajipa ukubwa tu

    Jifunze kuandika mada kwa usahihi na weledi mpana, usitumie nguvu kubwa kuandika vitu kwenye jukwaa ambalo watu wake ni weledi wa kutisha juu ya mada yako
  10. Nuru ya Yesu kristo

    Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

    Kuna haja ya kuwafundisha wanafunzi/watoto wetu juu ya faida na madhara ya mitandao ya kijamii.
  11. Nuru ya Yesu kristo

    Kukosoana

    Kukosoana Tunashangalia tunapokosoa wengine, wakitukosoa tunaona kama tunavuliwa nguo na uchi wetu kubagazwa; roho ya korosho inatukaa na kuanza kukemea kwa mamlaka yetu. Mapambio yanaimbwa kwa shangwe lakini nyimbo za kutushinikiza kutubu dhambi zetu hatutaki kusikia Wala kuwaona wa...
  12. Nuru ya Yesu kristo

    Ikumbukwe, Jaji Danstun Ndunguru ndiye aliyebariki Bandari ya Dar kuuzwa kwa DP WORLD

    Mimi nisiyefahamu sana Sheria, ikotokea lisu kapatikana na hatia na kuhukumiwa, je! Aweza kukata rufaa kwenye mahakama yetu ya rufani?
Back
Top Bottom