Recent content by Nuru na Hekima

  1. Nuru na Hekima

    JamiiForums Tanzania Thamani Yangu Mbele za Mungu

    Yohana 1:12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; Yohana 3: 16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. 17 Maana Mungu hakumtuma Mwana...
  2. Nuru na Hekima

    JamiiForums Tanzania Hakuna Atakayesimama Mbele Yetu.

    Dear Member, Nashukuru kwa maswali. Yanayofuata ni majibu. Ubarikiwe unapoyasoma. Hivi ni wakati gani hasa tukimtafuta Mungu atatuzidishia hayo yote tunayoyafafuta? Wakati wote unafaa kumtafuta Mungu kwa sababu maisha yetu yote yako mikononi mwake na yeye ndio kimbilio letu. Sawa sawa na Luka...
  3. Nuru na Hekima

    JamiiForums Tanzania Hakuna Atakayesimama Mbele Yetu.

    Neno la Mungu linasema katika Yoshua 1:5 Hapatakuwa na mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe; sitakupungukia wala sitakuacha. Mungu wetu ni mwema na mwaminifu sana kwa watu waliowema na...
  4. Nuru na Hekima

    JamiiForums Tanzania Aina ya watu Mungu anaowaita kuifanya kazi yake

    Soma 1Wakorinto 1:26 -29 Mifano halisi kwenye biblia 1 Samweli 16:7, Isaya 6:5-7, 1 Samweli 16:12-13, Waamuzi 6: 15-16, Luka 1:26-30. na Mungu wetu mwema akubariki na kukuhudumia, katika jina kuu kuliko yote la Yesu Kristo wa Nazareti.
Back
Top Bottom