Recent content by nursam

  1. N

    JamiiForums Tanzania Afisa Tawala na Afisa utumishi ipi nafasi nzuri serikalini?!

    nami nauliza wakuu afisa utumishi na afisa ustawi wa jamii nani ana faida na kazi yake?.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa interview utumishi

    dah hapy wangu wa bwiru nin .ntakupa majibu mazur tafuta no afu nical .utanikuta dar si tumemalzana leo afsa ustaw wa jamii
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

    dah kwel bwana leo ndo wamepeleka arusha .ni mtoto wa doctor wa chuo kikuu cha dar es salam anaishi chuo mtaa wa kileleni.amesoma sua watoto wa wakubwa wanapata kazi haraka ila mungu naye ndo kamchukua.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (Dodoma au Mwanza)

    dah hizi kazi jamani mpaka tunachanganyikiwa.mi mwenyewe natafuta pa kujitolea mungu atatuongoza.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Walimu wanahitajika kwa haraka sana

    mi nipo tayari ila nimesoma sociology naweza kufundisha history na english language.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Teachers‘ Junction

    tuliopo mkoani na tunahitaji hizo nafasi tufanyeje?.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Internship - Arusha

    npo mkuu nimesoma sociology ila degree
  8. N

    JamiiForums Tanzania Office Administrator - Urgently Needed

    asante mkuu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi-Princess Casino

    mh casino!.dah asanten
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kazi Maxmalipo Service

    nipe mim nakaa mabibo hostel
  11. N

    JamiiForums Tanzania kazi stastionary kwa wadada 2

    tehe tehe tehe mshahara laki moja! dah ona huruma ongeza .
Back
Top Bottom