Recent content by nuriat

  1. N

    JamiiForums Tanzania Udsm? Kwa nini uozo kama huu upo? Is what we want?

    kwa fikira zangu tusibilege kashinda kihalali coz sera zake watu walizikubali na tulimpa kura na alimzindi mgombea mwenzake kwa kura na mimi binafsi nmeridhika na matokeo kabisa hayo mengne kwamba cjui kawekwa mi siyajua ila frankly speaking namkubali sana vice president wetu tusibilege...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Evance Kisanko aka Mtoto wa Mkulima, the winner of DARUSO PRESIDENTIAL ELECTION,

    kabisa nawatakia kila la kheri
  3. N

    JamiiForums Tanzania mwanafunzi aliyemaliza udsm

    pengne hata waliomba udsm wakakosa nafasi , majungu tu
  4. N

    JamiiForums Tanzania mwanafunzi aliyemaliza udsm

    waone mara ngapi na ilihali ni chuo pekee tz kilichoingia ktika vyuo bora africa? Wivu acheni penye ukweli semeni acheni kujing'atang'ata.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya ya walimu

    vzur kama hujui jibu la swali la mtu ukakaa kimya kuliko kuropoka ropoka tu ili mradi tujue na wewe upo@perry
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume weusi wafupi wana gubu kama mke mwenza

    haya bwana ngoja nifanye utafiti
  7. N

    JamiiForums Tanzania bora iwe hivi

    u a right,
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ni wapenzi na ndugu yake...

    Wakuu, Kuna msichana yupo njia panda. Ana umri wa miaka 23. Ana mpenzi wake ambaye wana undugu pia. Dada yake huyu msichana kaolewa na anko wa huyo mpenzi wake. Wanapendana kwa dhati na hayo mahusiano ni ya siri sana, ila kuna baadhi ya nugu zake msichana huyo wamegundua na hawakubaliani na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania bora iwe hivi

    mbona yanatokea hayo au we bado hujaona tembea uone
  10. N

    JamiiForums Tanzania bora iwe hivi

    hope unaelewa what i mean.
  11. N

    JamiiForums Tanzania bora iwe hivi

    ntasubiri nn?
  12. N

    JamiiForums Tanzania bora iwe hivi

    hello wanajf hope mpo well wakati mwingine tunawaonea wasichana walo soma eti wanawadharau waume zao pale wanapoolewa na wanaume ambao hawajasoma,kwa upande mwingine nao wanaume wanamatatizo ya kujishtukia utasikia ktk kitu chochote ''au unafanya hv kwa kuwa umesoma'',maneno kama haya huwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    i know how u feel amu coz i know nin maana ya kupenda cjui uliyekutana nae kama anamapenz ya dhati kwako kama alivyo ticha labda ukweli ni kwamba kwa ticha mapenz yameisha na hii imetokana kwa kuwa ulipenda just azibe pengo la upweke uliokuwa nao ndoa ni kitu kikubwa sana ni maisha yako ya...
  14. N

    JamiiForums Tanzania one day i wont be there.

    nakuunga mkono
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya gani House girl akiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanao?

    mwanao bado mdogo we kama mtu mzima unatakiwa kumshauri akasome na sizani kwa age yake bado hajawa wakuwa na familia labda kama utawalea wote acha mtoto akasome kwanza akirudi upeo wa akili yake utakuwa umechange na kama atakuwa amepata mwingine poa kama bado anapenda kufunga ndoa na dada wa...
Back
Top Bottom