Recent content by nurdin aliy

  1. N

    Naogopa kuolewa...

    mungu kasema ni haki ya kuoa au kuolewa so madam ushafika mda wk bac olewa kwn hao wazee wk wameshaacha wazee wao na kuanzisha familia yao ndo ukapatikana we na wenzako me nakushaur km uko tayar kuolewa we olewa kwn hata ukichelewa kuna mambo baadae yatakufika waswahil wanasema jihadhar kabla ya...
  2. N

    TCRA yaiamuru Star Tv kurudi Star Times kabla ya 10 jioni leo!

    mhmh jaman hii dunia cjui ikoje yan ipo ipo 2 haina mbele wala nyuma ln 2tabadilika?
  3. N

    Hili ndio sakata la house girl aliyejinyonga kisa penzi la christopher...!!

    mhmh RIP DIVOTHA mungu ailaze roho ya marehem pepon amin so jaman kujaribu kuchagua mpenzi m1 co kwa mwanamke wala mwaname coz 2kichukuwa zaid yata2kuta meng kuliko hayo yalomkuta mwenze2 2jaribu kubadilika jaman
  4. N

    nitampataje

    mhmh mtihan mzito ila kwn hupajui anaposoma au kashamaliza na km kashamaliza hebu jaribu kwenda kumulizia hapo alipokuwa au anaposoma utampata 2 uckate tamaa kwn milima kwa milima haikutan bt binadamu kwa binadamu wanakutana so kaza moyo konde uckate tamaa na ukiachilia hvy utazid kuumia kwa...
Back
Top Bottom