Iyo biashara utazani amna hasara kufirisika sio kila unae muona anafanya biashara na kafanikiwa ajawahi pata hasara biashara inachangamoto zake jamani sio jambo dogo kununua kiwanja hajakosea labda ungesema anataka kujenga jengo kubwa la kuishi hapo amezika hela bora biashara lkn kiwanja tena...
Mradi wa bongo aifatagi watu ila watu ndo tunafata mradi kwel hela kwa hela hapo mjenzi mchina na mchimbaji atakua mchina na mteja ni mchina na atapanga bei lkn mkataba utakua wa miaka mia kwa malipo ya mradi na mia kwa uwekezaji yani tunamaliza deni na mradi umekufa chuma kimeondoka chote...
Sasa tumeona hela za kuhonga wenzetu wanatoa wp eti mtu anakaa ghorofa ya kupanga lakini ana honga gari ya mil 400 tena mbili na biashara yake sinza😅😅😅
Mkuu hata mkoloni aliambiwa kuwa watumwa tunateseka sana hakusikia ndo mana tulipiginia uhuru mkuu mpinzani kusema agenda bila matokeo uwezi kumuelewa na wanabezwa sana na kuitwa awapendi maendeleo so njia ni kuondoa mfumo usio sikia kwa njia nje ya box
Nakumbuka mimi nilijaza msiba naenda kuzika kenya na mimi ndo dereva waka nipa ukijaza unaenda kusoma basi lazima uwe na document za kwenda kama mualiko tena ndo utapiga sarakasi za kitosha mana watataka barua picha ya kurasa ya mbele ya passport anaekualika bill za mieza kadhaa permit ya...
Unachanganya kuvaa sare ya jeshi na kuvaa nguo zenye rangi rangi kuvaa kofia au pensi wala suruali bado sio sare ya jeshi mkuu uwezi vaa kofia ya rangi ya jeshi na raia waseme ni mwanajeshi itakua wendawazimu
Watanzania nimegundua kwenye ngumu tunashabikia lkn atujui sheria za ngumu yani kama wadada wengi kwenye mpira nishabiki tu naona mmeanza kuwa marefa bila paper note sijui mmerekodi VP point jmn tusiongelee ushindi kazi ya jaji tuongelee mchezo ndo unaonekana bila kuwa na utaalamu wa ujaji jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.