Recent content by Ntwhali

  1. Ntwhali

    KERO Malipo ya fedha za uhamisho kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

    Habari wanajukwaa. Kwa mujibu wa muongozo wa serikali wa uhamisho wa kawaida kwa watumishi wa serikali ni kwamba mamlaka yoyote inayotaka kuhamisha mtumishi ni lazima ijiridhishe kwanza ina fungu la kulipa ndio ihamishe. Hii ilikuja baada ya watumishi wengi kuwa wanahamishwa na kubaki kudai...
  2. Ntwhali

    Crazy things you did in secondary school

    Wale tuliokuwa na sifa zaidi ya moja tunacomment wapi?
  3. Ntwhali

    INAUZWA

    Pamoja sana Mkuu[emoji1545]
  4. Ntwhali

    INAUZWA

    It depends ndugu!Si unajua biashara ni makubaliano?na pia hiyo hapo juu ni pamoja na VGA cable
  5. Ntwhali

    INAUZWA

    Sina matumizi nayo kwa sasa Mkubwa
  6. Ntwhali

    INAUZWA

    Asante Boss
  7. Ntwhali

    INAUZWA

    Nipo Moshi mkubwa
  8. Ntwhali

    INAUZWA

    110000
  9. Ntwhali

    INAUZWA

    Dell flat panel monitor 19" inauzwa,ipo katika hali nzuri ni pamoja na VGA cable pia bei maelewano.Nicheki 0759936383 kwa mawasiliano zaidi.
  10. Ntwhali

    Dell flat monitor ipo dukani

    100000
  11. Ntwhali

    Dell flat monitor ipo dukani

    Dell flat panel monitor 19" Inauzwa bei nzuri na iko katika ubora mzuri
  12. Ntwhali

    Gari la ukusanyaji taka linahitajika

    Habari wana JF kwa yeyote Mwenye mawasiliano, anayefanya kazi au mmiliki wa kampuni ya magari yanayokusanya taka tuwasiliane tafadhali
  13. Ntwhali

    Msaada wa Kisheria

    Asante ndugu kwa ufafanuzi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ntwhali

    Msaada wa Kisheria

    Hivi kuvaa nguo inayotaka kufanana na sare za jeshi kama hiyo kwenye picha ni kosa kisheria? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom