sikubaliani na wewe hata kidogo...kila mtu na akipendacho....mfano mimi napenda technology, kwa hiyo napenda kuwa na kitu kinacho nipa raha...mfano , kwa simu niliyonayo, naweza kuchat Whatsapp hata na mtu aliye marekani, au England, coz nina marafiki huko....naweza kuongea nao kwa kutumia Skype...