Recent content by Ntunganya

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ajiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Maliasili na Utalii

    Hivi tushaanza kuimba wimbo mmoja??
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Ufisadi: Tanzania yazidi kuchechemea

    Bado tunafanya vizuri.. Mbona dingi anakomaa sana😂😂
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuwatambulisha watoto wa nje ya ndoa kwa waalikwa siku ya harusi?

    Ni jambo la kheri kuwatambulisha lakini sio kwa mwanamke wa tanzania
  4. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latumia mabomu kuwatawanya waandamanaji Njombe

    Mungu asimamie watoto wetu. . . . . Njombe bwana kesho utawakuta watoto waliowawa wamepatikana kwenye maduka wanaita wateja😂😂😂
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wanaharakati wa kulinda wanahabari (CPJ) wakamatwa na kuhojiwa, waachiwa!

    Nchi yetu inapotezwa na mafala wachache..
  6. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakionya kikundi kinachohamasisha maandamano ya kuiangusha Serikali kwenye mtandao wa Telegram

    Akwilina hakuna anayeshikiliwa wala kukamatiwa. Hii tz bhana .. . Mange komaaaaaaaa. Wao ndio watasimuliaa
  7. N

    JamiiForums Tanzania KAHAMA: Zaidi ya wafanyakazi 1,300 wakosa ajira baada ya mgodi wa Buzwagi kufungwa rasmi

    Mara paaap........ madini mererani yameisha machimbo yanafungwa.. Ule ukuta itabidi tupageuze kuwa hifadhi ya wanyama
  8. N

    JamiiForums Tanzania KAHAMA: Zaidi ya wafanyakazi 1,300 wakosa ajira baada ya mgodi wa Buzwagi kufungwa rasmi

    Ni muda tu ndo utakaoamua.. Mungu weka mkono kwa taifa lako
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetuma picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Hii nchi bhana raha sana:eek::eek:
  10. N

    JamiiForums Tanzania BUNGE: Hatuwatambui wabunge 8 wa CUF waliorudishwa na Mahakama

    Mahakama ndio inatakiwa iandike barua na sio chama wala NEC. . . Au lipumba kashafanya yake??
  11. N

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TCRA yaipiga Clouds FM faini Sh. Milioni 12 kwa ukiukwaji wa Maadili ya Habari

    Daaah wanataka watangaze kama radio tanzania
  12. N

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Kamati Kuu ya Chama cha ZANU-PF imemvua Uenyekiti wa Chama Rais Mugabe, Grace Mugabe avuliwa Uanachama

    Pumzika baba .. Huku kwetu sahivi angeitwa KAA. . Ingawa walioanzisha msemo wa kaa wao ni KAMBAKOCHE.. Rest in Grace comrade Mugabe
  13. N

    JamiiForums Tanzania Godfrey Gugai ajisalimisha TAKUKURU, kufikishwa mahakamani kesho

    Huwezi kumjibu hivi weweee:)
  14. N

    JamiiForums Tanzania UKONGA MOMBASA, DAR: Polisi watembeza kichapo kwa raia. Yadaiwa kuna askari kauawa na raia

    Wanaume wa dar bwana.. Acheni woga
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge

    Hii ni episode ya ngapi?
Back
Top Bottom