Tujadili kweli. Katika kujadili kwa kutumia logic, kweli Kuna Mambo ya juu ya shujaa huyo yanaleta mkanganyiko. Kuna Mambo unaweza shindwa kuyaelewa kwa haraka haraka. Hoja hizi ndio zinaibua mjadala katika kuelewa ukweli wa Jambo hili la shujaa anayetajwa.
Ita mwanafunzi yeyote, muulize maswali madogo madogo Kama Yale ya Tasker challenge ya chemsha bongo uone., Basic understanding yake..utakubaliana na mm hicho anachosema Gentemycine
Mkuu, hata watakaokuwa Mars, Kuna mda watarudi on the Earth kutafuta chakula, kwakuwa akiba ya chakula itatosha kwa mda tu. Ujue Mars Kuna viwezesha uhai baadhi haipatikani na hivyo watatumia vya mda. Mda Ukifika watkuta Dunia haipo, na wata perish wote! Yeye mwenyewe (Yesu), anasema,; amini...
Hiyo ndege ya kukodi Nani angelipa mkuu? Au wewe umefika Jana hapa nchini ikitokea ugaibuni? Hiyo kitete hospital, inaizidi hadhi Maweni? Hujui zote Ni hospital za Rufaa za mikoa? Haya pale Benjamin mkapa, unadhani wanatibu bure? Ile hospital mkuu Kama hujui siyo ya makabwela. VIP tu vinaendda...
Mkuu unaonaje ungekaa ukatulia ukaandika habari inayoeleweka? Hao wasichana wamejaa wapi? Songea, Mbeya, Iringa, Arusha au wapi? Bahati mbaya unasema Tanzania, mbona mm huku nakoishi sijawaona? Au Tanzania kwa ulewa wako Ni wapi? Mwanza, Dodoma kote huko sijawaona!
Sasa si umesema uswazi? Uswazi ndio Mambo yao hayo sababu maisha ya kule kwanza Ni changamoto. Kimsingi Kama unajitambua so vizuri kuishi na kulelea mtoto huko, kwasababu hautakuwa na maadili mema. Ni vizuri kutafuta maeneo ya kuishi hata Kama Pato linaleta shida. Sasa uswazi maishi hususani...
Nadhani, mnalumbana bure. Lakini ukweli ni kwamba, wengi wao hasa correspondences, elimu zao ni ndogo. Wamemaliza kidato cha nne na pengine kwenda chuoni kusoma certificate ama education au journalism. Wengi wamepata on job short seminars kujua tu basics ya uandishi wa Mambo ya kijamii. Hawawezi...
Hao wote uliowataja, binafsi namjua Beckam tu. Yawezekana Ni maarufu lakini sidhani Kama popular kwa kila mtu. The very popular kwa kila mtu, Ni Jesus Christ tu, hao wengine hata wangetumiwa bado Hakuna ambaye angeshituka Sana.
Hata hivyo, pia Ni lazima uende na evidences, kwamba unashida na Kodi na kwamba wewe Ni mwanafunzi, eg barua toka serikali ya mtaa unapokaa wewe. Vinginevyo watu hawasaidii kwakuwa matapeli Ni wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.