Naomba siku nikifa nizikwe kino badala ya Bukoba

P.o. box hautoshi mkuu, aweke na anwani ya makazi, yaani street na plot no kabisa
 
When I die , I wish to be buried at Kinondoni and not Bukoba
Thank you


Why Kinondoni ? Is place where my Best friend And sibling buried Dr Ndibalema Alphonce , This man was the lecture of Udsm so he taught me various issue about Life and how I can deal with this thug life done by our leaders.


Thank you by Mr Justice.
Mkuu,,, dondosha pia na namba ya bank,, mzigo unaouacha , ATM card na password! Acha kimemo umeturisisha jf hpa,, usife kizembe
 
Mkuu pole sana najua unapitia wakati mgumu lakini yatapita!

Nina kuhakikishia utokufa sasa ila cha moto utazidi kukiona ni lazima ukione cha moto ili ujifunze usikimbilie kuomba kifo acha uoga pambana ,chapika,nyingorota ,nyanyuka tena pambana! Hakuna kufa kwa sasa...

Agenda kwa sasa kwenye kichwa chako iwe jinsi ya kutoka hapo kwenye msoto na depression lakini si kuomba kufa...hutokufa lazima uonje joto ya jiwe na utasimama tuuu!

Acha kukimbia matatizo kwa kuomba kufa au kutaka kufa...pole
Labda jamaa anapitia Moto wa HIV, njugu za kila cku usiku zimemchosha anaona Bora kifo kuliko njugu daily,,

Vijana, UKIMWI UPO, Tucheze kistaarab , tuchakate mbususu kwa tahadhar
 
Sasa mtu hataki kuzikwa Kwao anang'ang'ania kinondoni kisa Lecturer aliyekutana naye chuo kwani akizikwa kinondoni ndio Kuna unafuu Kuliko Bukoba?
Hawa ndio walikuwa wanaona fahar kuzikwa wakiwa hai Kama mto wa chifu au mtemi
 
Tutakupeleka huko kwenu Bukoba ili tuone kama maisha yako ya Dar yanaakisi hali ya mazingira kijijini kwenu.
 
Back
Top Bottom