Recent content by Ntoto ya kibiti

  1. N

    Wakosoaji wa Serikali wanatumwa?

    Sijui!! Je tofauti na stress tumeambulia nn si wapo bungeni wamekaa tu..
  2. N

    Ukweli Kuhusu Kinywaji cha Ali Kiba Mofaya

    :D:D:D:D:D wabongo roho ya korosho mpaka imeota bibo
  3. N

    Wakosoaji wa Serikali wanatumwa?

    Tatizo la viongozi wa vyama vya upinzani ni wapiga kelele tu na kuwaonesha wananchi wapi wameonewa na hawana suluhisho kazi kutupa stress tu.........
  4. N

    Kushika na kunusa

    Hivi ni kwa nini watu wengi hujigusa kwenye vyombo vyao na kisha kunusa kuna mshikaji mmoja nimesoma nae ulkua ni mchezo wake mpaka parade syo hyo tu mpaka mademu nshawaona sana sijui huwa wananusa nini
Back
Top Bottom