Recent content by NTOMONTO

  1. NTOMONTO

    Chama kimetawala miaka 54 ,kwa nini kinategemea kubebwa ?

    No comment, mtoa mada Mungu amlinde.
  2. NTOMONTO

    Urais 2015: Lowassa ni rahisi sana kushinda, Ni rahisi mno kushindwa

    Du! Naomba team lowasa wanijibu, kwa nn Kambarage alikataa Jk na lowasa wasipewe urais?
  3. NTOMONTO

    Pendekezo: Picha/sura ya pamoja ya vijana waliotembea kutoka Geita kwenda Ikulu iwe "nembo" ya UKAWA

    Jamani mbona hoja nyingi watu wanabase kwenye vyama? Nani kati yenu anaependa shida na umaskini name maisha mabovu? Issue vijana wameonyesha ujasiri na kukerwa na matendo mabovu ya viongozi na serikali kwa ujumla, anyway kipi bora Hawa vijana au panya Road?
  4. NTOMONTO

    Maria Sarungi: Independent Candidate?

    Yuko vizuri na ameonyesha uzalendo ambao viongozi wetu was sasa unawashinda!!!!
  5. NTOMONTO

    Mwingine atabiri kifo kwa mgombea urais 2015

    Kumekucha 2015 tutasikia mengi sana hate Kule Samunge ilikuwa hivi hivi mwisho wa siku no proof!!!!!
  6. NTOMONTO

    Mh Mwiguru Mchemba wewe ni Kiongozi unayehitajika kuliongoza Taifa.

    You don't know hypocrite people enhee!
  7. NTOMONTO

    Wanaotangaza nia urais wasirudi majimboni kugombea ubunge

    Ni kweli mkuu, naunga mkono.
  8. NTOMONTO

    Nyerere: Pamoja na changamoto, Kiongozi safi hawezi toka nje ya CCM

    Nchi hii ni yetu sote, inabidi tufanye maamuzi magumu, LA sivyo tutabaki na hadithi na ngonjera ambazo mwisho wa siku tutalaumiwa na vizazi vyetu vijavyo, waasisi was Taiga hili walimtimua mkoloni, iweje Leo hii CCM ndio mkoloni? Tens anatutawala kwa mabavu? Chili halikubaliki lazima...
  9. NTOMONTO

    Graduate miaka 26 anaweza apply vikosi vya ulinzi?

    Kazi ya jeshi sio lelemama, inabidi awe mzalendo wa kweli tena awe na afya timamu, issue kwa graduate sio umri ila fani na afya muhimu sana.
  10. NTOMONTO

    Kufuatia Umuhimu Kwa Maslahi ya Taifa, Angalia Marudio ya Bunge la Jana, Saa 6:00 Hii, ITV!.

    Bila Itv mbona tungekoma? Hii TV ni ya kizalendo sana.
  11. NTOMONTO

    UKAWA ni sawa na jembe lenye mpini wa chuma

    5. Waziri WA malisili awe Mh. Silinde.
  12. NTOMONTO

    UKAWA ni sawa na jembe lenye mpini wa chuma

    Jamani tuache utani, Mbowe ANA impact kubwa ktk matokeo ya Jana, Mm namfananisha na mchezaji WA kimataifa Yaya Toure alivyo na impact ktk kikosi cha Man City, mbowe ndiye alisababisha Madam Speaker kuchanganyikiwa na kuahirisha kikao, kama Kweli mlifuatilia kwa karibu huo ndio ukweli, ndio maana...
  13. NTOMONTO

    Mwigulu ni bomu: Ataka kukusanya kodi za pesa chafu

    Kweli nimeanimini njaa haina adabu, unaweza kumchinja hata mama yako aisee ni sheeeda sana kuwa na viongozi wanaojali matumbo yao.
Back
Top Bottom