Recent content by ntingirawanyuma

  1. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania Uchawa umezidi Bungeni

    "Bunge lijalo kitakuwa la ndugu jamaa na marafiki" Luhaga Mpina
  2. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Bora wangemuita Antony Mtaka akaongea kwa ajiri yake maana ndo mtu mwenye akili aliyebaki humo
  3. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania Tumstukie Askofu Gwajima kwa kutafakari nitayaoandika hapa chini

    Una uhakika kasamehewa toka ndani ya mioyo yao? Au
  4. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania Sasa unaingia Kimara

    kiMARA ni mdogo wake MARA, kwa hiyo kafata tabia za kaka yake
  5. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania Kuelekea D9: Baada ya mafisadi kuja na Udini, Gen Z sasa wamekuja na dini mpya ya krislam

    Sabato kareem wapedwa katika kristo Jumapilimbalak watakatifu wa bwana
  6. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini tunamlaumu sana Samia wakati aliyempenyeza na anayemuendesha tunamuacha?

    Kwa nini alaumiwe malaya na sio wanaomkula?
  7. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashiru Ally: Siri ya ushindi mnono wa 97% ni uhakika wa kura za wanawake na ushawishi wao kwa wapiga kura

    A woman that allows people to taste her food before buying,end up feeding the whole community without selling.
  8. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Nasikia mzani wa Tunduma (wanaopimia magari) umechomwa. Mwenye taarifa tafadhari.
  9. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hongereni Watanzania, tumejikomboa tayari🎉🎉

    Nchi yenye azimio lenye tumaini, Ndiwe peke yako mwanga wa watanzania Ninakuthamini hadharani na moyoni, Unilinde nami nikulinde mpaka kufa.
  10. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa azomewe siku ya Mwananchi

    Kuna wakati tunaonekana wajinga kwa sababu tunafanya kazi na wajinga
  11. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania Talaka naomba mwongozo kwa yeyote aliyewahi kupitia mchakato huo

    Ahsante sana kaka. Ila kwa sasa naishi eneo lingine ambako ni zaidi ya mikoa mitano toka niliko kuwa naishi awali na kama nilivyosema sijui aliko huyo mwana mama. Nyongeza ya maelezo yangu ni kuwa hatukubahatika kupata mtoto wala mali za pamoja.. Naomba ufafanyzi pia hapo
  12. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania Talaka naomba mwongozo kwa yeyote aliyewahi kupitia mchakato huo

    Asalam aleykum Bwana Yesu asifiwe. Mambo vipi wakurungwa. Mie ni mkristo nina miaka 35 sasa nina miaka 7 iliyopita kwa ndoa ya kikristo, baada ya miaka mitatu tukashindwana na mke wangu na kila mtu akachukua 50. Yapata miaka mitatu mingine sasa kila mtu ana maisha yake na sasa nahitaji kufuata...
  13. ntingirawanyuma

    JamiiForums Tanzania Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari

    Kuna watu hawajui hata kama gari zina child lock na wako sawa tu.
Back
Top Bottom