Mfunga tai
Wewe ni mtu mzima na hapa utapata pressure ya bure utambiwa kila aina ya ushuri huu sio ukweli unaoambiwa hapa tumia akili na muamini shemeji huko aliko na pili naomba uchukuwe ushauri unao kuridhisha mimi naenda mwezi wa nne sasa na sina kinacho nisumbua ukifatilia sana shauri...
Mkuu kama hujaharibu natoa pongezi sana kwa uamuzi wako ni wachache wenye moyo huo tatizo lako ni dogo sana wewe huwa unalala kibudu.
Namaanisha kuwa wewe ukilala huwa huna maombi fanya maombi mpaka utakapo pitiwa na usingizi hali hiyo itatoweka shetani huwa ankuchezea. Mimi mkuu nafanya kazi...
Nyakageni
Hizi nchi Drc Rwand Na Uganda zote zina internal problem ndiomana wliandaliwa hawa jamaa ili kudhibiti hayo matatizo leongo la mwalim ilikuwa kuweka sawa nchi za jirani tatizo hawajamaa waliopewa zamana hiyo wamegeuka na kuangalia maslah yao binafsi badala yakwenda kutoa ukabila na...
Wewe acha unafiki wakijinga wewe mtusi unajifanya et uhusika wetu kwenda kigali ukaonje jotonya jiwe huko. Tanzania ni nchi iliyokuwa na mkakati wa ukombozi wa bara la Africa ndomana sehemkubwa ya Africa walisaidiwa kimafunzo na kijeshi ilinkuzikomboa nchi na sio ukoloni mambonleo kama hujui hilo
Mkuu tusamehe kama tutakuwa tumelitumia vibaya lakini sioni kama kumuombea baraka mtu ni kosa kama ni makosa tunaomba utfahamishe ubaya wake na utfundishe tulitakiwa kumuombeaje
Hivi nyie watu mmerogwa au ni upofu mlionao japokuwa mnamacho lakini hayaoni. safari za rais ndizo zinazoleta manufaa mengi nchini na sio raisi wetu pekee anasafiri kila mara kama huwa unatizama matukio duniani hebu jaribu kuangalia kiongozi wa juu kabisa wa marekani bwa ambae Secretary general...
Doh naomba uniwie radhi
Hivi wewe inaumri gani na uanaumewako upo wapi nilizani unaomba ushari wa tatizo alilo nalo kumbe ni ufinyu wa akiliyako na kukosa busara hata ubinadam huna wewe naweza kusema huna hadhi yakuitwa mwanaume aliye kamilika mwanaume aliyekamilika hawezi kujahapa na kutaka...
Mkuu nimeona hawajamaa Sony wanatangaza xperia waterprof imewekwa kwenye beseni inamwgiwa maji tunaomba utupe speciation ya hiyo mkuu hatuna tulijualo kiundani kiongozi
Ubarikiwe sana mkuu
Wajaribu waone motowake yena mnatupandisha mzuka itakuwa safi kabisa tutaweka rais tumtakae na himaya kubwa ya ulinzi kwa maslahi yetu. Watuts wanjidangaya sana kuona JW limekaa kimya kimya hee waulizeni makaburu watawap ishu zetu
Mkuu huyo wajuu umekosea kmleta huku kwakuwa ni mchafuzi wa mazinhira tu natoa shukranzanhu kwa kamandawetu mwenyesuti namuombea kwa munhu maisha marefu na afianjema ili azidishe ufanisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.