Recent content by ntibe

  1. N

    ELIMU ELIMU ELIMU! kwani kiwango cha elimu kwa watanzania kikoje kwa sasa?

    Kabisaaaaaaa ni aibu, Elimu ni kila kitu
  2. N

    Familia ya Gwajima yaja juu kwa udanganyifu wa Askofu Gwajima

    Kama CCM inatumia familia hizo duu jamani tumuogope mungu hyo Familia kama in a njaa io imezidi
  3. N

    Google map Kigoma

    Hawana jipya na mkoa wetu to change gear ili wajifunze kitu. Vipi mliopo pande hizo mbunge yupi Ana uwezo na kigoma mjini
  4. N

    Polisi ampigia saluti Lowassa

    Sio tu wazir mku, ni m/kiti wa ulinzi na usalama anafanya kazi nje na ndani ya nchi,.
  5. N

    Sumu Lowassa mitaani na jijini

    CCM itoke kwanza wakajiulize wapi wamekosea, 5yrs ukawa wakizingua tuna change gear
  6. N

    Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    Angetoa hizo tuhuma mapema, alafu swala la chakula cha nyumban kwake kinatuhusu nn ye ametoa sababu za kuachana na cdm basi apumzike mengine aende mahakaman. Alafu utakatifu wake ni mungu peke ndio ajuae
  7. N

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Kweli sijui, kwaio mh lowasa angefanikiwa Kuja na mtaji wa watu leo slaa tusingemuona akiongea hayo na kwann upadre ulimshinda.
  8. N

    Usanii mpya wajitokeza Tanzania

    Tata upo Sawa, shida ya wa tz hatuna hoja za mstakabali wa maisha ya mtz na kizazi kijacho.
  9. N

    Wito wa mgomo dhidi ya Clouds Fm & TV kwa kuwaburuza wasanii wanaoisapoti UKAWA

    Badala ya kuchagia mada kwa tija, mnaponda. Ni kweli Ruge ni mkandamizaji, kawaulize wanaoendaga Fiesta. Sugu hakutaka kushindana na upuuzi
  10. N

    WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

    Hata mchaw hawez kutoa uhai wa mtu, alimpima atwambie unaumwa nn, duu jamaa kasomea wapi na kama amesoma GPA ikoje kwakutegemea wikpedia duu aibu.
  11. N

    Waliolinda na kutetea 'majizi' ya Escrow wanapata wapi uhalali wa kumnyooshea kidole Lowasa?

    Sasa CCM jmn tuwe wapole tuspanic kama pole pole channel ten, tengeneza hoja tu kuelewa, huu ndio wkat wakijisafisha mpelelen mahakaman ilo mnaogopa, Sasa tuwaeleweje, hatutaki maskini ikulu, yatuludie Yale ya Mara kituo cha mafuta cha riz 1,mara sijui nn riz 1,tumechukua. El kura yangu unayo,.
  12. N

    Napata shida sana kujua dhamira ya Mh Lowassa kwa Taifa la Tanzania na katika Siasa za Tanzania

    Mh,jamaa kakazania lowasa lowasa, vipi kuhusu maisha yko leo mpka Sasa umeingiza kiasi gani
  13. N

    Napata shida sana kujua dhamira ya Mh Lowassa kwa Taifa la Tanzania na katika Siasa za Tanzania

    Huyo Familia yake yote mpka Kafka hapo ni msaada wa CCM, ndio baba Yao,unaombwa ushahidi unalukaluka, we poa moto October mnyolewe,.
Back
Top Bottom