CCM ni chama kilichojiimarisha vizuri kwa sera zake nzuri na mara zote kimekuwa kinajiweka karibu na wananchi kwa lengo la kupata ushirikiano wao,matumizi ya rasirimali za nchi zikiwemo watu,mali asili,ardhi na fedha za walipa kodi zimeisaidia CCM kuendelea kuonekana kama chama kinachopendwa...
ts true wote wamekosea lakini kumbuka CCM bado wanaendelea kuwalushia vijembe UKAWA na WARIOBA so ni muendelezo uleule wa makosa ambao UKAWA nao wameendelea wameendelea kuufanya kwa kukaa nje ya bunge....kitu cha msingi ninachokiona CCM waendelee na utunzi wa katiba kwa vile wote wanamtazamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.