Recent content by Ntate Mogolo

  1. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

    Huo ulimbukeni na ujinga wa kukumbatia majina ya wakolomi uko tu huku kwetu. Katika nchi ya Afrika ya kusin na sehenu kubwa nchi ya Botswana na Eswatini watu wanajulikana na kuandikishwa kwa majina yao ya asili zao,
  2. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Nondo 14 za Prof. Bengesi akitoa ufafanuzi wa hoja zilizoibuliwa na wazalishaji wa sukari nchini

    Huyu ni "professor wa mazingaombwe".
  3. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa wakiwa wanawafanyia mitihani wa degree na masters!!!!

    Mheshimiwa KISHIMBA JUMANNE MB Uko wapi kaka..!! Unaona wasomi wetu wanaokuponda kila ukichangia hoja Bungeni! Kumbe wezi wakubwa wa mitihani na vyeti.
  4. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

    Waumini wake wameufyata mkia! Hawawezi kiuongea, padri wao kesha wavua nguo. Aibu yao na wao, maana wanawatukuza sana mapdri wao wasiojitambua.
  5. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

    Maandalizi kwa vijana hadi kufikia upadri yamejaa unafiki kwa kiwango kikubwa. Hivyo, nivigumu sana kupata watu sahihi! Anaye waandaa, anaishi kinafiki! Wanao andaliwa, nao inabidi kuishi kinafiki ili kuweza kufikia lengo lao! Haya ndo matokeo, padri mtuhumiwa wa kudhamini mauaji ya mtoto mwenye...
  6. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

    Jeshi la polisi linapaswa kufanya uchunguzi wa kina juu ya mauaji ya mtoto huyu! Huenda unyama huo utakuwa ulitekelezwa hapo kwenye nyumba ya mapadri. Chunguzeni na hao mapadri wenzake, huenda ndo dili zao. Haiwezekani, padri mwenzao atuhumiwe kufanya unyama huo, wenzake nyumba moja wasiweze kujua!
  7. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

    Kalemani nitumie namba yako, nikurushie wekundu wawili!
  8. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kalemani yuko wapi siku hizi!
  9. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuzima Umeme siku 2 kwa saa 12 (Agosti 26 -28 2023), Mikoa 15 gizani

    Kalemani yuko wapi siku hizi!
  10. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Shamira Mshangama aliyetoa hoja ya MKE kulipwa kwa kazi za ndani ana upeo mdogo wa kufikiri. Mke kulipwa ndio kutamfanya awe Housegirl haswa

    Aibu kubwa kwa huyo mume! Ameoa kahaba, kila gori bila shaka huwa analipia.
  11. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Basi Kampuni ya Abood lapata ajali, hakuna madhara yoyote kwa abiria

    Ajali kama hizi zitakoma kama tuwekeza kujenga Barbara kama hii.
  12. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia unamharibia Rais Samia nchi, mambo mabaya yameharibikia mikononi mwako

    Wahenga walinena kitambo, "kikulacho kinguoni mwako.." Spika wa Binge amechangia kuchafua Kwa maamuzi yake ya kiti. Muda utahukumu!
  13. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia muondoe ofisini haraka huyu jamaa wa EWURA

    JWTZ na TISS Wetu hawahusiki na mambo ya uchumi.
  14. Ntate Mogolo

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Polisi yamsaka Mwalimu kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza

    Hawawezi kukuelewa. Waalimu wana akili kama ya kuku. Hili limesemwa sana humu JF, lakini wanarudia kuchapa mitoto ya watu.
Back
Top Bottom