Recent content by NTARE II

  1. NTARE II

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Bukoba tujilaumu kwa upofu wetu kuendelea kuchagua watu kwa majina na ushabiki wa kiitikadi bila kujali ni mustakabari maisha ya sasa na vizazi vijavyo. Tunawachagua wachumia tumbo sio wapenda maendeleo.
  2. NTARE II

    Bukoba vs Moshi

    Acha ujinga wa kutafuta kiki wewe
  3. NTARE II

    Bukoba vs Moshi

    Ukiongelea stendi bukoba ni kweli haipo kwenye hadhi ya kuitwa stendi kuu ya mji soko pia haliko kwenye ubora hii pia hata kwa moshi stendi na soko ni yale yale ila moshi itapata sifa ya usafi
  4. NTARE II

    Bukoba vs Moshi

    Naona hapa unatumika ushabiki tu kila mji una sifa na uzuri wake nadhani tukijikita kwenye ukweli hii miji kila mji una sifa zake
  5. NTARE II

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Nilichoweza kung'amua ni kwamba story zimekuwa nyingi kuliko uhalisia December 2015 tulishiriki kwa uwazi kwenye mkutano wa BUMUDECO ulioandaliwa na mbunge Lwakatare ukishirikisha wanakagera waishio nje ya kagera kila Mmoja aliondoka na katika mkutano ule akiwa ameridhika kwa namna ambavyo...
  6. NTARE II

    Waziri Ndalichako: Baadhi ya vyuo vikuu kufutwa

    We unaota ndoto za mchana na yawezekana huijui OUT ila umeamua kudandia treni kwa mbele. Usiichukulie OUT kihivyo aisee kile chuo kina sifa zote na ukitaka kujua kuwa si pa mchezo tia pua yako uone muziki wake kisha uje uandike utumbo wako hapa.
  7. NTARE II

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Unafiki na siasa zisizo na mlengo ndo zinazotupeleka kusiko. Meya na baraza lake la madiwani ndo dira ya halmashauri kukiwa na meya ambaye ana vision na akawa creative basi mambo yataflow. hivi manispaa yetu imeingia mkenge kwa siasa hizi hizi unafiki pamoja na kwamba jimbo liko mikononi mwa...
  8. NTARE II

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Ndugu Umeongea kweli tupu. Binafsi niliudhuria kongamano la BUMUDECO mwaka jana lilikuwa ni kongamano lilikuwa na mtazamo mpana na wenye kujenga shauku kwa wengi walioudhuria wakiwa na nia ya kuona mkwamo wa kimaendeleo kwa Bukoba ukifika kikomo. wanakagera na wapenda wmaendeleo wengi...
  9. NTARE II

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Livinus Mikakati isiyo na utekelezaji au isiyoonyesha mwelekeo ni mikakati mfu. kwenye miradi ya Tushirikishane hawakutakiwa kuji commit kuleta mikakati mizito wasiyoweza kuibeba walitakiwa waweke malengo yaliyo ndani ya uwezo wao. sioni kama hiyo miradi tajwa ina uelekeo wa kutekelezwa zaidi ni...
  10. NTARE II

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Sio Mbunge pekee bali pia Meya na naibu meya nao wote wamekaa kimya sana hawasemi chochote wala kujibu hoja zetu. Hii ni dharau ya hali ya juu na ni aibu kubwa kumuona naibu meya akiwa concerned na mambo yanayoendelea kwa wenzao lakini wakashindwa kujibu hoja zilizotoka kwa wananch wao. mi...
  11. NTARE II

    Wabunge CHADEMA wakubali yaishe, CUF watengwa!

    Hakika ili sio jiwe gizani bali ni ukweli mtamu. Siasa mchezo usiotaka hasira.
  12. NTARE II

    Ndio maana alipoahidi kuweka vielelezo vyake hadharani ni miezi 6 sasa hajafanya hivyo?

    Ben lini umeandika jema linalomhusu Rais? tuambie na ya upande wa pili ndo tutakuamini
  13. NTARE II

    Tuzo ya Forbes Africa ni ya kweli watu wenye nia mbaya wanataka kupotosha

    Yes that means na kagame wao akiwamo
  14. NTARE II

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Dah wewe Dada hii nafasi hawakukosea kukupatia maana unajua mpaka basi. hongera
Back
Top Bottom