Recent content by Ntangilege

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye interview TRA post za diploma

    vip kwa nyie mlioitwa kigezo cha umri wanakiangalia 25yrs maana nakumbuka zilikua na limitation ya miaka
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye interview TRA post za diploma

    niliona kwa rafiki angu email zinafanyikia chuo cha kodi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TRA msaada

    poa asante mkuu kwakunifungua maana sina uzoefu wowote
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TRA msaada

    ok asante mkuu kwa ushauri
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TRA msaada

    qualification walitaka degree au advanced diploma mm nina diploma tuu na hiyo degree ndo ipo on progress
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TRA msaada

    Habarini za jioni wana JamiiForums, Samahani naombeni nisaidiwe hili nilifanya application TRA kwa hizo nafasi za assistant tax na wameniita (waamenitumia email) na kunipigia simu utata wangu ni kwamba sijamaliza degree ndo nipo mwaka watatu mzumbe namaliza mwez wasaba je nikienda na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bati za Msauzi zinauzwa

    bei ni sh.elf22 mkubwa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Bati za Msauzi zinauzwa

    Habarini wana JF! Nnina bati za Africa Kusini nauza rangi ya choclet ,fut10, gauge 28, migongo midogo Alie tayari ni pm au ntafute kwa 0788 924584 au 0715512764 Asanteni
  9. N

    JamiiForums Tanzania Bati zinauzwa

    Habarini wana JF nina bati nauza gauge28, futi 10, rangi ya choclate,zipo mia moja migongo midogo za Africa kusini alie tayari ani PM au nitafute kwa 0715512764 au 0788 924584 kwa ajili ya bei na mambo mengine asanteni
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jamani hawa NSSF vipi

    calisy unayo ongelea ww ni hayo ya supu ya mawe au mengine kama vipi nitumie watsup kwa 0788924584
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jamani hawa NSSF vipi

    calisy unayo ongelea ww ni hayo ya supu ya mawe au mengine kama vipi nitumie watsup kwa 0788924584
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Kazini NSSF

    dah huyo supu anazingua kichizi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Kazini NSSF

    jamani mm sijaelewa inamaana hizi tulizofanya 2nd interview hapa juzi juzi ndo wameita watu kazini moja kwa moja au vipi?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za hotel management

    jinsia ni mwanamke
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za hotel management

    sawa ndugu nashukuru
Back
Top Bottom