Recent content by Ntandu 789

  1. Ntandu 789

    Hatma ya wanafunzi waliosimamishwa masomo UDOM itajulikana lini?

    Wacha tuisome namba.... full kutumbuliwa.... hvo yan... na kama una Div one au Two.. we subiri... lakini ss wenye three tutafute vyuo vya saizi yetu..... #chezea..Mbele..kwa..mbele..yani....
  2. Ntandu 789

    Msaada wakuu nataka kutuma maombi ya chuo

    Okky. . Nashukuru kwa ushauli wako...
  3. Ntandu 789

    Msaada wakuu nataka kutuma maombi ya chuo

    Nataka nijue kama wameshaanza kupokea maombi kwasababu walisema wataanza kupokea mwishoni mwa mwezi wa sita. Halafu kila nikifungua inasema server not found...
  4. Ntandu 789

    Msaada wakuu nataka kutuma maombi ya chuo

    Form four. ... nina C ya Bioz.. C ya Chemistry na D ya Mathe...
  5. Ntandu 789

    Msaada wakuu nataka kutuma maombi ya chuo

    Wakuu naombeni mnisaidie mie bado sijafanya application nasubr round ya pili.. naombeni mnisaidie kama wamefungua website ili namm nitume maombi.. NAOMBENI MSAADA JAMANI.
  6. Ntandu 789

    NACTE Imetema, angalieni Profile zenu

    Wakuu kwa ambao bado hatujafanya application hvi wamesha fungua website ili nitume maombi?? Naombeni msaada ili nami nitume maombi...
Back
Top Bottom