Ntandu 789
Member
- Jul 4, 2016
- 6
- 0
Wakuu naombeni mnisaidie mie bado sijafanya application nasubr round ya pili.. naombeni mnisaidie kama wamefungua website ili namm nitume maombi.. NAOMBENI MSAADA JAMANI.
Maombi yote yanapitia NACTE au TCU via CAS. Usijidanganye kuomba kupitia vyuo directly. Umemaliza darasa gani?Wakuu naombeni mnisaidie mie bado sijafanya application nasubr round ya pili.. naombeni mnisaidie kama wamefungua website ili namm nitume maombi.. NAOMBENI MSAADA JAMANI.
Subiri TCU wafungue system maana NACTE ni ubabaishaji mwingi maana walioomba kuanzia machi bado hawajatoa na sababu hawaelezi hata muda waliosema umepita,kuna uwezekano hata TCU wakatoa haraka zaidi ya NACTE ingawa hao hata kutangaza bado,namaanisha TCU wako smart zaidi ya NACTE.Wakuu naombeni mnisaidie mie bado sijafanya application nasubr round ya pili.. naombeni mnisaidie kama wamefungua website ili namm nitume maombi.. NAOMBENI MSAADA JAMANI.
Ntandu ulikuwa wapi. NACTE walifunga mwezi wa 5 31st, baadaye wakaongeza siku tatu mpaka 3/6/2020. Ulikuwa wapi? Subiri labda wanaweza kutoa nafasi waliochelewa may/june waka apply. I guess TCU ni direct from six na in service with the required qualifications. Wewe ni direct form 4! You do not qualify for TCU applicationNataka nijue kama wameshaanza kupokea maombi kwasababu walisema wataanza kupokea mwishoni mwa mwezi wa sita. Halafu kila nikifungua inasema server not found...
Keep patience!Naona zimepita wiki 5 sasa alafu hakuna kitu je ni lini labda watatoa selection nacte!