Recent content by ntamaholo

  1. ntamaholo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hivi mmesha lipa ada ya kuhost afcon? Nyie ni maskini sana
  2. ntamaholo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Lands Tanzania: Biashara, Ajira na Ushirikiano Mpya Kwenye Meza

    Amekuja kutuomba msamaha kijanja. Maana ametunanga sana ngeke huyu
  3. ntamaholo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Lipeni hela ya bid, kama hamna ombeni Tanzania tuwalipie. Kama Afcon ikikosekana ni kwa sababu ya umaskini wa Kenya. You have failed everything
  4. ntamaholo

  5. ntamaholo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huu ndo ulizungukwa na maji pande zote wewe jamaa. Ha ha ha ha
  6. ntamaholo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Naangalia haka ka derby kenu ka kishamba kwenye hivi viwanja vilivyo kataliwa na caf. Hivi nchi yenye uchumi mkubwa mnashindwa kujenga viwanja vizuri? Bure kabisa nyie, ndio maaana hata ada ya ku bid mashindano mmeshindwa kulipa. Nyie ni maskini
  7. ntamaholo

    JamiiForums Tanzania Mahakama yasema Kanisa la Ufufuo na Uzima Tanzania ( The Glory of Christ Tanzania Church) Halijafungwa Wala Kufutwa, hivo Rufaa imetupiliwa mbali

    Nadhani ni shida ya lugha za kisheria. Kama halijazuiwa, kwa nini jumapili ya tarehe 08.06.2025 hawakupata nafasi ya kusali ili hali wana hukumu kuwa kanisa halijazuiwa? Hapo ni lugha ya kisheria tu hakuna namna nyingine. Lugha hii itafakari namna hii... "the preliminary objection is...
  8. ntamaholo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wale G55 wanaenda Chama kingine ili ionekane Chadema imekufa, sisi hatununuliki

    Umaskini ni nini? Hii ni shule pana na kunaweza kusiwe na majibu ya jumla. World Bank na IMF wanapima umaskini kwa kuzingatia dollar za marekani. Mfano iwapo unaishi chini ya dola moja kwa saa 24, basi wewe ni maskini. dollar moja ni sawa na 2,680/-. Kama unaishi chini ya 2,680 basi wewe ni...
  9. ntamaholo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

    Kuponya majeraha ndiyo kitu gani? Wanatafuta teuzi? Wanatafta nini? Uchaguzi ukiisha, mnavunja kambi zenu mnakuwa na agenda za walioshinda ndizo zinaongoza chama. Wao wanataka waendelee na Mbowe. Inawezekana vipi?
  10. ntamaholo

    JamiiForums Tanzania Kama viongozi waandamizi wa Chadema wamebaini kuwa Lissu na Henche hawafai kuwa viongozi wa Chama, wewe unasubiri nini?

    Hao wana hasira maslahi yao kuvurugwa. CHADEMA iko mikono salama, hawana bei
  11. ntamaholo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

    Yeriko Nyerere Kupitia uchaguzi huu wa ndani ya chama, tumewatambua kabisa watu waliokwamisha upinzani kutwaa dola kwa miaka 30 tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Lakini hii pia ndiyo inadhihirisha namna CCM ilivyojiandaa kuhakikisha hakuna mtu wa kuwatoa madarakani. Kifupi tumekuwa na wanasiasa...
  12. ntamaholo

    JamiiForums Tanzania Natamani kusikia dini zinatutangazia kujitenga na mchakato wa uchaguzi 2025

    Walisema ni feki
  13. ntamaholo

    JamiiForums Tanzania Natamani kusikia dini zinatutangazia kujitenga na mchakato wa uchaguzi 2025

    Siasa ni unafiki na mnafiki haogopi kufika popote. Namna pekee ya kuwaambia unafiki wao umevuka miapka, ni pamoja na kukataza waumini kushiriki. Hapo watakosa uhalali
  14. ntamaholo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona timu za Zanzibar hazipigwi goli nyingi na Yanga kama za huku bara?

    1. Kwanza zimefungwa 2. Timu tatu za bara zimefungwa na timu za Zanzibar 3. Sababu kubwa ni vikosi vilivyosafiri na vinavyo chezeshwa. Timu za bara zinaenda kule kupumzika siyo kushindana. Wachezaji tegemezi hawachezi na hawasafiri na timu 4. Wachezaji kudharau timu za zenji, hivyo kutoweka...
Back
Top Bottom