Recent content by NTALYAGA

  1. NTALYAGA

    Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

    habari za majukumu wana JF ninasumbuliwa na kipanda uso mpaka nashindwa kufanya kazi. Tafadhali kama kuna yeyote mwenye kujua chanzo na tiba yake au tiba tu naomba anisaidie, plz. Asante
  2. NTALYAGA

    Tatizo la kutopata haja kubwa (mimi ni mtu wa aina gani)

    Ndugu wana JF habari za leo. Mwenzenu nina tatizo la kiafya sipati haja kubwa kabisa. Ninachukua hadi siku 5 ndo napata hali ya kwenda haja kubwa lakini nikienda hata sipati haja nzuri sometimes natoa tu hewa na kama mapovu hivi. Naomba ushauri wenu wapendwa; ni tatizo gani? Maybe naweza...
  3. NTALYAGA

    Jamani nahitaji msaada wenu tafadhari (tendo la ndoa)

    asante kwa ushauri @ tonii herrera
  4. NTALYAGA

    Jamani nahitaji msaada wenu tafadhari (tendo la ndoa)

    asante sana ndugu yangu @ hugochavez
  5. NTALYAGA

    Jamani nahitaji msaada wenu tafadhari (tendo la ndoa)

    naweza chukua dakika 1 hadi 2 mchezo unakwisha kwangu
  6. NTALYAGA

    Jamani nahitaji msaada wenu tafadhari (tendo la ndoa)

    Habari wana JF, Nina matatizo mawili 1) ninawahi sana kufika kilele ninapokuwa katika tendo la ndoa, naomba ushauri wenu nifanyaje ili niweze dumu hata japo kwa nusu saa. 2) ninachelewa kupata nguvu za kurudia game baada ya bao la kwanza. naomba ushauri wenu pia katika hili Asanteni wana JF
  7. NTALYAGA

    Dar express inaungua Wami?

    ina maana wewe ni mgeni na sheria ya makosa ya mitandao, sasa subiri iungue kwako maana umetoa taarifa za uongo.
  8. NTALYAGA

    Natafuta nafasi ya kazi/kujitolea

    Habari zenu wana JF, Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26. Nina shahada ya uchumi na fedha. Ninawaomba wana JF mnisaidie nafasi ya kazi (kujitolea) katika NGO yoyote mkoani Morogoro. Asante. Mawasiliano: 0684 148465
  9. NTALYAGA

    mchumi grade I

    Habari zenu wana JF Naomba kujua mchumi grade I ni yupi, anakuwa na sifa gani?
  10. NTALYAGA

    Intervew NMB

    mkuu ni zone ipi wamekuita??
  11. NTALYAGA

    Nafasi za kazi NMB

    sawa tutajulishana
  12. NTALYAGA

    Mikopo kwa graduates

    wadau hizo update za mafunzo ya ujasiriamali from NEEC tutapata vipi bse wanasema ili uweze kupata mkopo lazima upate hayo mafunzo. plz mwenye kujua zaidi anisaidie.
  13. NTALYAGA

    Natafuta sehemu ya kufanya kazi kwa kujitolea

    Habari zenu wana JF, natafuta sehemu ya kufanya kazi as a volunteer. Mimi ni kijana wa kiume 26 years nimemaliza chuo mwaka huu, fani bachelor of science in economics and finance. Nichek kwy namba 0754 25 44 79.
Back
Top Bottom