Nafasi za kazi NMB

Nafasi za kazi NMB

Kucertify mkuu ni kwenda mahakamani au kwa wakili kuthibitisha kama copy za vyeti vyako ni copy za vyeti halisi,so atagonga muhuri wake na atatia saini,hapo zoezi la kucertify litakuwa limekamilika,then unaenda kuvituma,huko kucertify kuna gharama zake,mara nyingi mahakimu wa serikali hawana gharama kama binafsi,kila la kheri mkuu

Hivi kumbe kuna mahakimu binafsi(wakujitegemea) na mahakimu wa serikali?
 
Hivi kumbe kuna mahakimu binafsi(wakujitegemea) na mahakimu wa serikali?

Mkuu unamlisha maneno ...Steve kasema mahakimu hawatozi gharama ukilinganisha na binafsi, ...binafsi stands to mean private advocates, kama law firms na mawakili wenye mihuli, mawakili wa serikali na mahakimu ni public officers!!
Sababu ya tofauti ya gharama inatokana na kuwa kila Mwaka wakili lazma alipe gharama za chama ndio apo wanainclude muhuri, ili aweze kumudu kulipa lazma kwenye kazi zake atoe ushauri/ service with cost!! Fee kama kustamp na kucertify ndio revenue yake!! Ivo kwa muhuri wa mahakama ni free public service!
 
Zilizopita kuna mshkaji alipeleka application kabla ya mstari wa kifo (deadline) alijikuta akiambiwa kuwa interview ishapita na watu washaanza kazi. Ila no retreat no surrender!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Usikate tamaa ndgu "Try and Fail but dont fail to try".
 
Hao nmb kanda ya moro walishawahi kutoa nafasi hizo september mwaka jana na wakaajili watu 10 walizitangaza internal sasa nashangaa tena wanatoa hyo ni geresha mazee wahuni
 
Hakuna neno linanikera kama Equal opportunity employer
 
Jaman kucertify ndo inakuwaje ?
Cheti chako unatoa copy za kutosha, kisha unazipeleka kwa mkuu wa idara hapo chuoni kwenu, wanazipiga certified stamp na kusaini... kwahiyo kila unapokutana na wanoko sawa na hao NMB, basi unapeleka hizo certified copies of original certificates... understand? Sometimes, hata kwenye baadhi ya vyuo vinavyotoa postgraduate degrees, wanakuwa na unoko huo wa kutaka certified copy of original certificates... so, a smart graduate, kabla hajaviacha viunga vya chuo baada ya kupata cheti chake, basi atatoa kopi kadhaa na kuzipeleka kwa mkuu wa idara for certification... NI MUHIMU SANA HII KWA WALE AMBAO HAWAJACHUKUA VYETI VYAO unless kama kuna option ya ku-certify kwa mwanasheria ambae, kama possible (and I think it is) ni lazima akutoe pesa!!
 
Back
Top Bottom