Recent content by Ntalewisegete

  1. N

    JamiiForums Tanzania Maaskofu na Mashekhe: Tunataka tume huru ya Kijaji kuchunguza matukio yanayoendelea Tanzania kati ya Serikali na Chama cha Upinzani

    Vipi kuhusu shekh Ponda au hujawahimsikiliza?by the way tusiangalie nani kasema nini ila je hoja IPO?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Benard Membe hajafukuzwa CCM, hatima yake ni NEC

    Kila lenye mwanzo mkuu..........
  3. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumbukeni hata Mrema aliwahi kununuliwa nyumba Sinza na Wananchi

    Amesema kwa nguvu.......
  4. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumbukeni hata Mrema aliwahi kununuliwa nyumba Sinza na Wananchi

    Mkuu samahani,unaishi Tanzania?
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumbukeni hata Mrema aliwahi kununuliwa nyumba Sinza na Wananchi

    Inahitaji kuambiwa?hujaona wote wako jela na mambo ya chama yameendelea?unaishi wapi mkuu?
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itupe gharama ya kuanzisha chombo cha habari, sisi wananchi tutachanga

    Unafikiri kama kufanya mikutano ya kisiasa ambalo ni takwa LA kikatiba wanawekewa mizengwe,vipi kuhusu chombo cha habari?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mdee, Bulaya, Jacob, Kileo, Mwago na Asenga Wanashikiliwa Polisi Sitakishari, wadaiwa kufanya fujo Segerea

    Hiyo ndio siasa mkuu kwa tafsiri ya nchi yetu,fikiria Polepole alifuata nini Gerezani wakati Msigwa anatoka Gerezani?ukiuliza utaambiwa ndo siasa zetu hizo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kabisa Serikali yetu imekubali kuchezeshwa segere na CHADEMA?

    Uzuri wa wanasiasa wenye kazi ya siasa Mara nyingi hawawi mafisadi,maana ndo ajira yao siasa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kabisa Serikali yetu imekubali kuchezeshwa segere na CHADEMA?

    Duh! Nafuatilia post zako sioni positive kwa CHADEMA so naogopa sana huko mbeleni
  10. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumbukeni hata Mrema aliwahi kununuliwa nyumba Sinza na Wananchi

    Nakuunga mkono mkuu, lakini hapo unamuongelea MTU mmoja tofauti na CHADEMA wao naona wamejijenga kitaasisi,hategemewi MTU mmoja hata unaona viongozi wote wa juu wanawekwa jela na chama chao kama taasisi wamesonga mbele
  11. N

    JamiiForums Tanzania Milioni 333 za ruzuku CHADEMA pasua kichwa!

    Samahani mkuu,unaweza kujiongeza kidogo tu mwenyewe kua Chama kina vuongozi nchi nzima,kanda,mikoa,wilaya,makao makuu,pia chama kinanunua vyombo vya usafiri kama Pikipiki,Magari na kinawalipa mishahara,posho na mawasiliano viongozi wake nchi nzima kama nilivyoorodhesha hapo juu,achilia mbali...
  12. N

Back
Top Bottom