Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Washambuliaji wanajulukana wale wanao tumia sumu
In God we Trust
Utashambuliwa bure, hawataki kuambiwa ukweli.

Mkuu, jiandae kupokea matusi.[emoji23]
Tatizo ni kuandika kishabiki ,habari ikishakuwa ya kishabiki inakosa viungo kwa hiyo hainogi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbona mpaka unaota kipara unaishi kwa dada yako, shemeji yako akila mzigo unaishia kusonya tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada, kuna mambo kadhaa napenda kukufahamisha.
a) Ukiwa hujawahi kuwa na milioni moja huwezi kujua udogo wa milioni moja. Sishangai unaona milioni 333 ni fedha nyingi sana kwa mwezi kwa nchi nzima.
b) CCM wanapata ruzuku kubwa zaidi lakini ukweli ni kuwa majengo na mambo yote inayofanya CCM hugharimiwa na serikali!!
Shughuli zote za CCM zinazomhusu Rais zinalipwa na serikali wakati Mbowe, Mbatia, Mrema, Lipumba na wenzake - ni lazima ziwe ruzuku au michango ya wanachama au misaada ya wasamaria!!
Ficha ujinga wako huko ndugu wew walau uheshimiwe. Ndio maana CCM iliunda tume ikiongozwa na Bashiru Ally ambaye kwa sasa ni Katibu mkuu wa CCM kuchunguza na kutathimini mali za ccm.Tusiwe wanafiki CCM wanaajiri kila leo, wanaboresha Majengo yao, wanajenga ofisi kila leo, wanaibua miradi mipya, wananunua magari mpaka ngazi ya wilaya sasa wanaenda ngazi ya wilaya. Ina watumishi zaidi ya 1,200
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 kilipata nafasi ya pili katika nafasi ya Rais na idadi kubwa ya wabunge wa majimbo kuliko vyama vingine vya upinzani. Hii ilipelekea kipate ruzuku ya shilingi milioni 333 kwa kila mwezi.
Kwa muda wa miaka mitano yaani miezi 60 chadema itakuwa imevuna bilion 19.98 lakini ajabu haijafanikiwa kumiliki ofisi zake yenyewe zitakazotumika kama makao makuu, au mradi wowote, au ofisi hata ya chumba kimoja katika kanda nk
Hivi waungwana ikiwa chama hiki kinashindwa kufanya matumizi sahihi ya ruzuku yake wataweza kusimamia hazina ya nchi?
Mara kadhaa Mwenyekiti wao wa Taifa amenukuliwa akieleza wao hawajengi majengo kwa ajili ya ofisi bali wanajenga fikra. Swali ni kama hawahitaji Majengo kwanini watumie mamilioni kukodi majengo kwa matumizi ya ofisi za makao makuu? Je, hawahitaji kuwa na mradi kama kitega uchumi?
Ikumbukwe vita kubwa ndani ya chama hiki tangu wakati wa marehemu Chacha Zakayo Wangwe, Zitto Zubeir Kabwe, Prof Kitila Mkumbo nk ni ruzuku.
Najua hizi habari za matumizi ya ruzuku hazipendwi maana tunaoneana haya ila tunapenda kuhoji matumizi ya serikali kuu kwa madai ni kodi zetu bila kusahau hata ruzuku za vyama ni kodi zetu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda ungejikita kwenye hoja,hili la CCM ni hoja kamili ambapo JF itasimama ili ijadiliwe sababu kila mtu nchi hii ni mwanaccmUmeshamuuliza mwenyekiti wa Ccm inayopata 870 ml. @ mwezi ruzuku yao inafanya nini ?!
Boriti kwa mwenzio kibanzi kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipengele kinaonesha magari ya chama yanahodhiwa na watu binafsiMpuuzi usiyestahili kupuuzwa. Ebu toa taarifa ya CAG inayoonyesha kutolewa na kutumika kwa hiyo ruzuku.
Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 kilipata nafasi ya pili katika nafasi ya Rais na idadi kubwa ya wabunge wa majimbo kuliko vyama vingine vya upinzani. Hii ilipelekea kipate ruzuku ya shilingi milioni 333 kwa kila mwezi.
Kwa muda wa miaka mitano yaani miezi 60 chadema itakuwa imevuna bilion 19.98 lakini ajabu haijafanikiwa kumiliki ofisi zake yenyewe zitakazotumika kama makao makuu, au mradi wowote, au ofisi hata ya chumba kimoja katika kanda nk
Hivi waungwana ikiwa chama hiki kinashindwa kufanya matumizi sahihi ya ruzuku yake wataweza kusimamia hazina ya nchi?
Mara kadhaa Mwenyekiti wao wa Taifa amenukuliwa akieleza wao hawajengi majengo kwa ajili ya ofisi bali wanajenga fikra. Swali ni kama hawahitaji Majengo kwanini watumie mamilioni kukodi majengo kwa matumizi ya ofisi za makao makuu? Je, hawahitaji kuwa na mradi kama kitega uchumi?
Ikumbukwe vita kubwa ndani ya chama hiki tangu wakati wa marehemu Chacha Zakayo Wangwe, Zitto Zubeir Kabwe, Prof Kitila Mkumbo nk ni ruzuku.
Najua hizi habari za matumizi ya ruzuku hazipendwi maana tunaoneana haya ila tunapenda kuhoji matumizi ya serikali kuu kwa madai ni kodi zetu bila kusahau hata ruzuku za vyama ni kodi zetu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndizo milioni 333?Kuna kipengele kinaonesha magari ya chama yanahodhiwa na watu binafsi

Ifahamike NCCR MAGEUZI na CUF wote wamejenga Majengo Ya ofisi kwa ajili Ya makao makuu kupitia ruzuku. Tena haikuwa kiasi hiki, iweje chadema washindwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kufanya maendeleo endapo hujui kesho yako. maana wangelitwanga maji kwenye kinu 'madadhala ya kuongoza kwa chuki na matamko'Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 kilipata nafasi ya pili katika nafasi ya Rais na idadi kubwa ya wabunge wa majimbo kuliko vyama vingine vya upinzani. Hii ilipelekea kipate ruzuku ya shilingi milioni 333 kwa kila mwezi.