Recent content by Nsumba Ntale1

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ulinzi na Usalama wa ya Bunge yashindwa kuwasilisha ripoti juu ya shambulio la Tundu Lissu

    Samahani kuna mwenye majina ya wabunge wanaounda kamati hiyo anisaidie.
  2. N

    JamiiForums Tanzania TCRA: Kwanini watanzania wana support matusi ya mitandaoni kwa Mh. Rais Dr John Magufuli?

    Kwani unachopenda/usichopenda wewe lazima na jirani take aendane nawe? Usiingilie Uhuru wa MTU.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kiongozi ni iodine tincture au ipo ingine? maana hata WA kwangu naona ugonjwa unaanza.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Magreth Sakaya ametambuliwa na Msajili wa vyama kama Katibu Mkuu wa CUF

    Hahahaaaa mbaya sasa mahakama imezuia ruzuku ya cuf mpaka shauri lililoko mahakamani lisikilizwe kwanza na target yao ilikuwa ni kuchota hela sasa imebuma!!!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Makundi ya kumsafisa RC Dar!

    Akiondolewa kwenye cheo chake ataajiliwa mwingine mwenye qualification elewa elewa bita iliyopo no us watumishi hewa no watumishi hewa ni hao wanaogushi/wanaotumia vyeti visivyo vyao.Kwa hiyo wanatakiwa wafanyakazi wenye vigezo.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Kila mtu ana haki ya kuongea lakini si kila kitu Kina maana, mfano ni hiki ulichoandika,enjoy your freedom but I can't consider your opinion!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Ivi inawezekanaje kufifisha tuhuma wakati kuna tume unwinds us kushughulikia madawa kulevya na wakati wana access ya kumkagua yoyote wanaemhisi kwani kawazuia wasiingie ndani mwake? ninataka vyeti si ishu nikuthibitisha tu kuwa anavyo ivi wewe haukuumia pindi watu wanafukuzwa kazi Kwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Kumwimbia kiziwi utamaliza nyimbo!!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Bashite atumbuliwe maana Mhe... anataka kila mmoja apate kilicho halali kwa maana hiyo bashite anapokea kisicho chake anatakiwa apate kulingana na elimu yake na si kubana nafasi Za watu!
Back
Top Bottom