Recent content by Nsubi_TheStar

  1. Nsubi_TheStar

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kigamboni kuna shida gani?

    Inatia hasira.....how comes umeme unakatika wikiendi tu...yani mpaka haieleweki sasa.
  2. Nsubi_TheStar

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kigamboni kuna shida gani?

    Habari wana forumn, mimi ni kati ya watu wengi waishio kigamboni wka sasa. Kinachonishangaza ni hali ya umeme kutokuwepo hasa wakati wa wikiendi. Utakuta jumamosi asubuhi umeme unakatika na hakuna hata taarifa ya nini kinaendelea. Siku nyingi za wiki umeme upo siku nzima ila ikifika wikiendi...
  3. Nsubi_TheStar

    JamiiForums Tanzania Symbion Power: Intelligence watupu

    Kaka.....saluti.......yo a real great thinker...your level of insight...inspires....:peace:
  4. Nsubi_TheStar

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kamati ya PAC Wachukuliwe Hatua Kali za Kisheria

    Sijui kama ulielewa kilichosababisha wakubali. Sababu ya msingi ya kupeleka hizi hoja na kuziita mapendekezo ni ili bunge liwe na pa kuanzia na sio bunge liendeshwe na hayo. Think before you write....
  5. Nsubi_TheStar

    JamiiForums Tanzania Mkono Advocates, wakili wa TANESCO kutetea serikali alitoza $1,000 kwa saa kwa miaka 16

    Tanesco haikulazimishwa kutetewa na mkono...walijua hizo gharama na alikubali...tuwe wakweli na wawazi kwenye mambo yanayohusu watu wote jaman.
  6. Nsubi_TheStar

    JamiiForums Tanzania Askofu methodius kilaini unastahili kufungiwa jiwe na kutoswa baharini

    Jambo kama hili kuwahusisha viongozi wa dini ni jambo la kuskitisha sana. Ila kama ambavyo msemo maarufu husema....only God can judge.....mi nafikiri tusiwe wepesi wa kuharakia kushutumu watu mpaka tunaowaheshimu na kuwaita wezi...ila pia ikumbukwe kuna mengi ambayo Kilaini na Rugemalila wanajua...
  7. Nsubi_TheStar

    JamiiForums Tanzania How James Rugemalira outsmarted the Government of Tanzania (GoT)

    Duuuh,this z fantastic, thx to th author
  8. Nsubi_TheStar

    JamiiForums Tanzania TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

    R.I.P Small Ngamba
  9. Nsubi_TheStar

    JamiiForums Tanzania TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

    Je habari hii ni kweli?
  10. Nsubi_TheStar

    JamiiForums Tanzania Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Natafakari ujasiri wa huyu kijana, najaribu kufikiri kweli kama mtazamo wake juu ya Lowassa na CCM ni sahihi. Bila shaka ni kama wengi wanavyoona, amejazwa tu upepo, siasa ina mengi ila huu ujasiri wa kwenda kusema hadharani majina ya watu bila ushahidi wowote ni ujinga....
  11. Nsubi_TheStar

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Azania sekondari.

    Kwa wale walomaliza 2002 tunajaribu kujiunga pamoja. Check fb "Azania 2002", jiunge/cheki na mmoja wa maadmin akuongeze kwenye kundi...
Back
Top Bottom