Recent content by nshungu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

    Kuna tofauti Kati ya mwalimu na muhadhiri, mkufunzi? Nadhani tofauti itakuja kuwepo mbeleni siku tukianza kupanga wanaotakiwa kusomea ualimu Ni wale tu waliofaulu kwa viwango vilivyotukuka. Kwa Sasa Ni Kama ualimu Ni kichaka Cha.......japo sio wote.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri(Gharama za Ujenzi nyumba ya kawaida ya vyumba 3)

    Wengine ni wezxi na wengine wanakop[a na wengine ni wafanya biashara, wengine wamejiajiri na hawategemei hii mishahara ya kinyonyaji...... wewe ukilipwa na slave master wako 1M yeye kwa wiki anaingiza 7M kwa vibiashara vyake vidogodogo...... KUJIAJIRI!!!:fish2:
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba

    Gharama ungeorodhesha ingekuwa safi sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hotuba ya Raisi wa JMT

    Mwingine atakuwa ni serikali, pili ni wale wafuasi wake, tatu wanaojipendekeza kwa serikali, nne, wanaomlindia heshima... duuh!!
Back
Top Bottom