Ramani za nyumba

KIWONDEF

Member
May 13, 2013
59
23
Tunachora ramani za nyumba za aina tofauti tofauti(primaryarchitectural services),pia tunadesign ndani ya nyumba ambazo zilisha jengwatayari,maduka,migahawa,vibanda vya simu n.k(hii ni kwa upande wa interiordesign) na tunafanya landscape design,hii ni kwa upande wa nje wa jengo,mamboya garden design.
kwa mawasiliano zaidi
0713450840
francofmwakiwonde@gmail.com
francofmwakiwonde@yahoo.com

TUJENGE PAMOJA
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    1 MB · Views: 426
Kazi zako ni nzuri mkuu KIWONDEF.

Naweza kuona sample ya ghorofa ndogo tu iliyo na upande mmoja?

Yaani nusu ghorofa, nusu kawaida tu ya chini but iwe inavutia.

Niridhika nayo tunapiga kazi
 
Last edited by a moderator:
Kazi zako ni nzuri mkuu KIWONDEF.

Naweza kuona sample ya ghorofa ndogo tu iliyo na upande mmoja?

Yaani nusu ghorofa, nusu kawaida tu ya chini but iwe inavutia.

Niridhika nayo tunapiga kazi

mi mwenyewe nataka hii dizaini mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom