Recent content by Nsendo

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ntamjuaje kama ananipenda kweli

    Jaribu kumpima kwa kutumia weakness zako anahandle vp then utajua kiasi cha upendo ila chonde unaweza jaribu ndo ukaharibu kabisaaa
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwa mama wa kambo

    Asante kwa mawazo ila mawasiliano ninayoulizia hapa ni juu ya biological mama kuulizia mwanae anaendeleaje huku ugenini amuulize mzazi mwenzie yaani baba watoto au mama wa kambo?
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwa mama wa kambo

    Habari zenu wana jf,naomba kujuzwa unapolea mtoto wa mwanamme mawasiliano ya maendeleo ya huyu mtoto yawe yanapitia kwa huyu mama wa kambo au wawasiliane wenyewe?
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Mchumba hatafutwi hivi kazania masomo kwanza kila jambo na wakati wake
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Mchumba hatafutwi hivi kazana kusoma kwanza kila jambo lina mpango wake
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania sina mapenzi

    Kuna historia yoyote ya kutisha uliyowahi kuiona au kusikia ikakuumiza moyo?yupo aliyeumbwa kwa ajili yako punguza mawazo
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha za mpenzi (au wapenzi) wako wa zamani..

    Unazichoma moto kabisa otherwise kama una mpango wowote naye
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawakubali sana akinadada wa Singida, Mtwara/Lindi na Tanga

    ni kweli kabisa....
Back
Top Bottom