Recent content by nselembwe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete safarini Marekani...

    Anahaki ya kwenda bado ni mkuu wa nchi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuwalipia nauli, malazi, chakula na posho wajumbe wa NEC na MM wa CCM

    Ina maana wewe ndiye Team meneja wa Lowasa mpaka ujue hesabu zote hizo kwa taarifa yako Lowasa Rais wako upende usipende hiyo shauri yako
  3. N

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Umemuandama lowasa tu subiri awe Rais wako ukae kimiya
  4. N

    JamiiForums Tanzania CCM ni maarufu kuliko wagombea wote

    Hakuna mwenye mfano wa nyerere ccm nzima
  5. N

    JamiiForums Tanzania CCM ni maarufu kuliko wagombea wote

    Tunataka wanachama wamuwe wenyewe sio kikundi kidogo chenye visasi ni kura tu sio kukatwa mtu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa naye atoe kauli ya kukubali matokeo endapo hatapitishwa

    Uwezi kwenda kusali ukaomba zambi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa naye atoe kauli ya kukubali matokeo endapo hatapitishwa

    Tunataka kupigiwa kura sio kukatwa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Majina saba yaipa kamati kuu ya CCM wakati mgumu

    Malizia kwanza kiroba jtano ni tarehe moja mwisho ni tarehe mbili hao wazamini kawapata lini?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nitakuwa Rais, ama kupitia CCM au nje ya CCM

    Kashifa nyingi kwa Lowasa kwanini membe anatumia ndege kujitangaza hamuoni?acheni wivu Lowasa ndiye Rais mtake msitake
  10. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Huna jipya Lowasa viva tupo na wewe Ikulu utaingia tu hakuna wa kukuzuiya
  11. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Acheni unafiki umesema hawajalipwa wameandama kwenda kwa mkuu wa mkoa halafu unauliza akingia Ikulu atalipaje hayo mabilioni kwani kawalip?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Harrison Mwakyembe achukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nakumbusha tu mabehewa hewa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ulinzi Arusha mjini yakutana kuikabili CHADEMA

    Tunataka mke wa lema na watoto wake wawe mstali wa mbele kwenye maandamano sio kutumia watoto wetu wakavunje miguu wakwenu wazima
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, aamua kuvuruga uandikishaji, Dr. Slaa aingilia kati Kuokoa jahazi

    Yaani saa mbili usiku mnataka kupola mashene zetu hovyo kabisa chadema
  15. N

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Hata kama atajipendekeza kwa madereva chedema Ikulu hamuni g:o mtasubiri sana tu
Back
Top Bottom