Recent content by nsanzu

  1. nsanzu

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka millenials kaburi letu lilikuwa madawa ya kulevya. Hawa Gen-Z kaburi lao ni mapenzi kinyume na maumbile

    IKiwa umezaliwa 2000 kuja juu utashangaa lakin tuliokulia miaka ya 90 kurudi nyuma si ajabu maana kuna mambo mengi sana back then hayakuwa yanafanywa na watoto au vijana na kuyasikia ilikuwa ni nadra mnoooo. Kitu kama kuvuta sigara, kipindi hicho ilikuwa ni nadra mnoo kumuona kijana wa miaka...
  2. nsanzu

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya MV Bukoba: Kwangu naona kama imetokea jana na hivi ndvyo ninavyo azimisha tukio hili

    Nakumbuka mida ya saa 4 hivi nikiwa darasa la pili namalizia kujiandaa niende shule nikisoma Mbugani Shule ya Msingi hapo Mwanza nikasikia habari zilizotufikia hivi punde radio Free Africa kuwa meli ya mv Bukobq imepata ajali, nikasikiliza nikatoka nje kumuita sister aje asikilize pia haikupita...
  3. nsanzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa Jinsi ya kuvunja Ndoa au kutoa talaka

    Kwani hujui Quran ni copy n paste ya Biblia?
  4. nsanzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoka kukimbizana na wanawake, ni process inayokula nishati na mentallity yangu, nifanyeje kuikamilisha hatua hii ?

    Koment zote ziishie hapa kwa huyu lastborn
  5. nsanzu

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya Aviator

    Nami nawashauri wale woote ambao hamjaanza kunywa Pepsi baridi, achaneni kabisa na hii soda, kuiacha ni shughuli pevu
  6. nsanzu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini Tanzania imekuwa kama dump ya bidhaa feki almost kila kitu sasa hivi ni feki

    Kijana akiajiriwa TBS ndani ya mwaka mmoja asiuage ufukara basi huyo hajatokea
  7. nsanzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamaake ni Single Mother lakini kamkataza asioe Single Mother

    Mueleweni Mama, keshaona tangu zamani mwanae hana UANAUME ndani yake halafu anakutana na singo maza
  8. nsanzu

    JamiiForums Tanzania Mtengeneza maudhui ya unywaji pombe maarufu Tonie Professor augua Ugonjwa wa Ajabu, aomba msaada kwa wadau

    Bado kuna yule mdada ni wa kaskazin nae, muda utasema
  9. nsanzu

    JamiiForums Tanzania Iran YAISHAMBULIA kwa makombora Umoja wa Falme za Kiarabu muda huu

    Israel akipiga Lebanon tunaambiwa anapiga Hezbollah, Iran akipiga kambi za Marekani, kashambulia UAE, very interesting
  10. nsanzu

    JamiiForums Tanzania Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa

    Ulikuwa na haja ya kumtukana jamaa!? Mbona alichouliza kipo straight foward na ni ishu ndogo tu kama hufahamu utulie mkubwa!?
  11. nsanzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

    Huna cha kushauriwa, wewe ishi tu utakavyoishi. Miaka nenda rudi tunasema humu hakuna mechi inayoanza na aggregate, sijui huwa mnatuona hatuna akili! Tena una bahati uko mbali, ungechezea kerub la kisogo nireset medula
  12. nsanzu

    JamiiForums Tanzania Mafuta yaadimika Kenya na Ethiopia, baadhi yao waanza kufunga vituo

    Sio kweli ndugu, pale panalisha zaidi ya 80% ila kwa propaganda za magharibi wanalazimishe tuukubali upuuzi wao wa taarifa za uongo
Back
Top Bottom