Recent content by Nsanzamahoro

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kibali cha kurejea Utumishi huchukua muda gani?

    Sawa! Nitajaribu njia hii
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kibali cha kurejea Utumishi huchukua muda gani?

    miaka 3 ujue nimefika mara nyingi sana huko jibu huwa ni kuwa wanafanyia kazi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kibali cha kurejea Utumishi huchukua muda gani?

    Wakuu saalam! Mimi nina swali tu nataka kuuliza. kuhusu utaratibu wa kirejea utumishi wa umma kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi na baadae kuacha kazi ama kufukuzwa kazi. Mimi nipo katika hilo kundi la kwanza niliacha kazi kwa sababu ambayo sotaitaja hapa, lakini baadae nilipata kazi tena katoka...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ndejembi: Watumishi wa umma 1,477 wasimamishwa kazi 2015-2022

    Mashauri yanachukua mpaka miaka mitatu sijui kipi huwa wanafanya hao tume ya utumish! Halafu kuna wale wanaomba vibali vya kurejea utumishi baada ya kuacha kazi wenyewe ama kuchufukuzwa kazi, baso hayo majibu ya kuwa umekubaliwa ama umekataliwa nayo huchukua muda sana ni kuanzia miaka w mpka 3...
Back
Top Bottom