Recent content by nsanji

  1. nsanji

    JamiiForums Tanzania Kwangu naona sasa mapenzi basi

    Tuachie siye
  2. nsanji

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kipindupindu, Wananchi tusiilaumu Serikali

    Niko mwanza takribani ni mwezi Sasa lakini hapa nilipo maeneo ya nyegezi maji ni shida sana yanatoka bombani kwa mgao inalazimika wakati mwingine ununue yanayotembezwa, huo usafi bila maji utaufanya vipi kwa usanifu, bado eti tusilaum
  3. nsanji

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

    Yuko sahihi sana watu wengi huwa wanabadirika baadaye
  4. nsanji

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

    Hongera sana wengi wanatamani wawe Kama wewe na wengi hawawezi generation hii Ina baadhi ya watu Wana tamaa sana
  5. nsanji

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

    Kuna ukweli makabila watajwa hapo Ni wapambanaji wasio kata tamaa Wana uwezo wa kujinyima ili kufikia malengo ya mafanikio
  6. nsanji

    JamiiForums Tanzania Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

    Umependelewa sema hujajitambua tu
  7. nsanji

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hamna uwezo tena siku hizi, maneno matupu na kujisifu bure

    Inawezekana na wewe Ni wale wanawake wasiokuwa na mvuto wowote au harufu ya dudu lako ilimshinda jamaa
  8. nsanji

    JamiiForums Tanzania Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

    Malaika mbinguni wanashangilia hongera sana
  9. nsanji

    JamiiForums Tanzania Afadhali kuolewa na Muislamu kuliko Mkristo

    Pole umevurugwa na wivu tu. huna lolote
  10. nsanji

    JamiiForums Tanzania Nina kinyongo na chuki kali sana. Je, hili ni tatizo?

    Uko sawa na ndugu yangu mmoja Ana roho mbaya sana Kama yako nilipojenga nyumba tu sasa hatuongei wala salamu
  11. nsanji

    JamiiForums Tanzania Shikilia ukweli na haki, usijishikilie kwa Mtu

    Umenena kweli kabisa
  12. nsanji

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Wanawake wameiharibu Dunia imekuwa kama shimo la choo

    Ya kweli kabisa
  13. nsanji

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Wanawake wameiharibu Dunia imekuwa kama shimo la choo

    Ni kweli tupu wengi wao Wana roho mbaya za kichawi nimeshuhudia kwa ndugu yangu Ana roho mbaya muongo mfitini Ana wivu amejaa ubinafsi mshirkina yaani wa ovyo kwa Kila kitu hata kwa watoto wake wa kuzaa mwenyewe.
  14. nsanji

    JamiiForums Tanzania Ukiletewa Kesi na Mwanamke usiiendee kichwakichwa!

    Ni sahihi kabisa
  15. nsanji

    JamiiForums Tanzania Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

    Kuna baadhi ya watu hawajui kusema Asante Wala samahani kumbuka Hilo siku zote
Back
Top Bottom